gpblaze
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 304
- 14
Una ushamba sana,kumbe hujawahi kutumia hizi Simu?hiyo msg zinaandika zenyewe!
Mshamba wa. .... Kero hapo ni ipi?
Una ushamba sana,kumbe hujawahi kutumia hizi Simu?hiyo msg zinaandika zenyewe!
Una ushamba sana,kumbe hujawahi kutumia hizi Simu?hiyo msg zinaandika zenyewe!
Kuna option ya kufuta hizo msg.
Naona wewe ndiyo "ushamba"
bado unakusumbua, kwa kawaida hizo signature zinakuwa ziko-set hivyo
toka kiwandani (by default), hiyo ni njia mojawapo ya hawa watengenezaji
wa simu kufanya marketing, wala sioni tatizo katika hilo, labda kama
linakufanya wewe ujione inferior! Kama unataka tusijue unatumia nokia ya
tochi unaweza kuset tu manually signature ionekane unatumia iPhone, if
that will make you feel any better!
Inajiandika yenyewe
sent from my iPhone
Kuna option ya kufuta hizo msg.
hi hi hiii,kweli mtoa mada ana hoja ya msingi,yaani ujumbe mmoja huo huo utumwe na misimu yote hyo tena kwa wakati mmoja kama huo wako mkuu??
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!