Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Kwa hyo una ushauri gani mtoa mada? Wakati wenzako wanamiliki hzo cmu wewe ulikuwa wapi?


Sent from my Nokia 3310 using JamiiForums
 
Kuna baadhi ya vitu tukikosa tunasingizia hatuvipendi/hatuvihitaji.

Sent from my Blackberry 9780 using Jamiiforums
 
Imekuuma sana mjomba Mwee ndio hivo tumetofautiana uwezo ila isome na hii hapo chini.
Sent from________
Usipanic lakini n vijimambo dunia n ya ubepari na simu hizi zinajaribu kutoutisha watu.
 
Let them live the life they want to live, what wrong with their preferences? Lets respect other people's freedom
 
Kuna baadhi ya vitu tukikosa tunasingizia hatuvipendi/hatuvihitaji.

Sent from my Blackberry 9780 using Jamiiforums

Ahaa sana Kweli Maskini hana rafiki huyu mtoa mada Kamaindi mbaya akitaka atoe {•} atapewa hata iphone 4 kiaina itamtoa
 
Inajiandika yenyewe

sent from my iPhone

Thanxx kwa App developer alietengeneza hii App ni noma ila mtoa mada Kamaindi hapend af utam inajiandika yenyewe raha Kweli Hapana chezea iOS weeee
 
Halloo habarini zenu




sent from my blackberry 9300,iphone5S,Nokia lumia ya tochiberry

hi hi hiii,kweli mtoa mada ana hoja ya msingi,yaani ujumbe mmoja huo huo utumwe na misimu yote hyo tena kwa wakati mmoja kama huo wako mkuu??
 
Mkuu! Unaweza kuondoa pia. Naungana na mleta mada. Ni ushamba hasa ukiwa umekusudia.

Naweza kuondoa ili iweje hivi barabarani si virtz range kuna BMW ect mnata na hizo tufute majina sio, sim naenda kununua mwenyewe nataka galaxy s IV halafu eti imekuja mshamba mmoja na mchina wake wa tochi anatakanifute! wew nawe ndio walewale wa sent from mchina wa toch
 
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!

Mkuu kwa wenye smartphone kuna application maalumu zinazo rahisisha kuperuzi mfaano JF ina application yake ambapo ndani yake ina option ya signature na hii huwa ipo moja kwa moja labda mtumiaji aamue kuiondoa na huwa inatambua simu ambayo mtumiaji anatumia hivyo sio kila post anakuwa anaandika hiyo signature ni kama zilivyo signature za JF mzee. Na kuna program zingine kama tapatalk nayo ipo hivyo. Ukitaka maelezo mazuri sana kaulize kule kwenye jukwaa la technology utafahamu namna hii inavyofanya kazi maana kuna wengine hata hawajui inakujaje kumbe ni option tu lkn inakuwa enabled by default.
 
...on transit





Sent from my iphone 5 latest version
 
Uondoe ili iwejee???

Kama simu yako haina unaweza kuandika tu mwenyewe .. Kwii kwiiiiii Kuwa mbunifuu bana.

Unaweza kuandika .. Sent from my nokia ya tochii blaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahaha.....

sent from my chemli aka koroboi.
 
Ndg ndio maana ya kua na cmu ya bei hv unadhani kwann mtu anahesabu mpaka ka m1 anachukua cmu c mawasiliano tu ndg,viko vng vngine ndio kama hv vya kuonekAna huku mitandaoni pia naunga hoja ya mchangiaji mmoja c wote tunapenda ijulikane n cmu gani ila anaependa ndio maana aliinunua na huo ndio ujana na lazima uupitie ilinbaadae uone vya kawaida
 
Wakuu mpo? Nawasalimia tu!!


Sent from Siemens, zile zenye kama kidole hivi kimetokeza kwa juu.
Using Jamiiforums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom