Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Inapendeza kuona unaanzisha mada kurise attention za watu,sawa sawa!!!hiii mada umejitahidi kupata wadau

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hata mpumbavu akikaa kimya anaonekana ana hekima, sio lazima uandike kitu hata kama kichwa chako kiko wazi! Hebu jiulize wewe unafunguaje JF kama unatumia simu yako? Basi inaweza kuwa tofauti pia na wenzako wanavyotumia na ndio utofauti unapoanzia na inapelekea tofauti unayoiona hapo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hapo ushamba upo wap we mwanakijiji? Haya nimauwezo tu ya simu yenyew halaf sijaiba wa kupora au kunyang'anya nikwamba nimenunua. Kwa nn nisiitendee haki ndugu yangu. Ni pm nikuwezeshe kijana ila utoke huko village kwanza sawa????

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!

Naona wewe ndiyo "ushamba" bado unakusumbua, kwa kawaida hizo signature zinakuwa ziko-set hivyo toka kiwandani (by default), hiyo ni njia mojawapo ya hawa watengenezaji wa simu kufanya marketing, wala sioni tatizo katika hilo, labda kama linakufanya wewe ujione inferior! Kama unataka tusijue unatumia nokia ya tochi unaweza kuset tu manually signature ionekane unatumia iPhone, if that will make you feel any better!
 
Inatoleka sana 2 ila wengine wanaweka makusud tuone ushamba wao ulivyo kweli umenena kaka subir kdg watazileta sshv malimbuken wako hao
 
Nafikiri imekugonga "delivered"

Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningeshaikimbia thread kitambo, btw wakati mwingine huwa inatokea unajifanya unajua kitu unaropoka mbelle za watu unaonekana kituko, ndiyo namna ya kujifunza tu kijana. Hao watu unaoona hizo signature chini ya post zao ni simu zao ndiyo zinaandika hivyo automatically wala si wao. Ukinunua moja utajua tu!
 
hii mada imenichekesha sana wakati ambao hakika nilihitaji kucheka


sent from kapongo zero problem intanet cafe using desktop pc!!!!
 
Ila kiukweli ni ushamba hata kama mtoa mada yeye hana uwezo mimi na akili zangu timamu siwezi kuruhusu upuuzi kama huu eti sent from my eye phone....so what?????
 
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!

sasa kaka hiyo inakukeraje? Ushauri wa Bure wewe soma yanayokuhusu majina ya simu waachie wenyewe........sio kwa ubaya
 
Kitu cha kawaida tu. Mi naona mleta mada ndio mshamba!
"Sent from hell"
 
Inatoleka sana 2 ila wengine wanaweka makusud tuone ushamba wao ulivyo kweli umenena kaka subir kdg watazileta sshv malimbuken wako hao
Tatizo sio ushamba ila watanzania wengi tunatumia muda mwingi kufuatilia vitu visivyo na tija hata kwa maisha yetu binafsi
 
Hahahaa!!!ushamba mzigoo!!!nenda shule kijana akili yako ndogo sn

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
@A VILLAGER hii kitu inaitwa Signature na hujitokeza kila mwisho wa post yako na kwa maelezo zaidi ingia Settings ya kwako ambako kuna avartar na vinginevyo unavyopenda viwepo (kweli ushamba ni mali)
Maana ingine tofauti na Signature ni kuwa mtu anayetumia simu ya mkononi anakutahadharisha iwapo utakuta misspelling au kasoro zozote ujue anatumia Mobile na yupo OnTransit hawezi kwenda kwenye Internatcafe kama wewe aua kuvizia Computer za ofisini yeye hujibu papo kwa hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom