Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

Inaweza kuwa sio ushamba, nijuavyo mimi baadhi ya IT machine huwa zina automatic signatures from manufacturer ila kama huipendi waweza kuitoa.
Cha kukumbuka sio wote ni wajuzi wa vitu wanavyovitumia.
 
Inaweza kuwa sio ushamba, nijuavyo mimi baadhi ya IT machine huwa zina automatic signatures from manufacturer ila kama huipendi waweza kuitoa.
Cha kukumbuka sio wote ni wajuzi wa vitu wanavyovitumia.

Hivi mleta mada alituelewa au kabaki na msimamo wake? :banghead:

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!
Hueleweki!!

Sent from Nokia Ashura using Airtel mixer with Jamiiforum!!
 
Hahahaha
sent from my Oking kwa ushirikiano wa kifurushi cha 450tsh
 
Sent from my Lg shine plus (aloha) kwa udhamini wa Airtel Yatosha
 
Mtoa mada wewe ni mliberali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!

Mchina wako hawezi kuacha signature.
 
Mtoa mada wewe ni mliberali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu tafadhali sana, mods wamesema sasa hv hawafanyi ki2 chochote wala kutoa mtu ndani ya jf au kumpiga BAN.

Sent from my Nokia ya Tochi with blue tooth.
 
Viroba na Chibuku ni hatari sana!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mtoa mada toa semina zaidi maana nimechoka kuona watu wana simu kali kuliko mchina wangu ila leo nami nimemseti signature.
Sent from my TECNO via jamii forum
 
Umekurupuka, fanya uchunguzi kwanza kwanza

sent from my nokia ya tochi kwa udhamini wa cheka ya 350
 
Hii thread imenichekesha sana. Next time mtoa mada do some research before kuleta mada za kuonesha ufahamu wako ulivyo mdogo.

Kwa akili yako hivi unafikiri watu wana muda huo wa kuandika aina zao za simu kila wanapotuma email/comments/status etc?
 
wakuu,
kashaelewa ndo mana kaingia mitini. akirudia ubishi tunampeleka kwa waliberali wenzak....hahah si..yu...ef bana... wabishi haoooo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom