Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...

Tumsamehe mzee wetu jamani umri umekwenda. Ni prof. makini sana amenifundisha uchumi UDSM. Kuna watu wengi amewafundisha na wengi ni Madocta kama si maprof hapohapo UDSM.
Basi wangemwacha aandike vitu presentation wapewe wanaoiweza,kwenye project kuna watu maalumwa kukata manyangana wengine wa ma presentation.

Presentation is part of the report, some hoity toities may find reason to dismiss the content of a report just based on the presentation.
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
How do you drive home your point?
Mimi simfahamu huyo Proffessor lakini halfway nikasema huyu ni mwalimu!
He did very well to drive glaring mistakes home!

He did very well!
 
Basi wangemwacha aandike vitu presentation wapewe wanaoiweza,kwenye project kuna watu maalumwa kukata manyangana wengine wa ma presentation.

Presentation is part of the report, some hoity toities may find reason to dismiss the content of a report just based on the presentation.
Ni kweli, Prof. alipaswa kuwaachia vijana watiririke. labda aliogopa wangeharibu akaamua kukomaa mwenyewe.
 
Ndio ujinga ulio kujaa.Hao wezi waliletwa na Chadema?unaacha kujadili ukweli unawayawaya na chadema kanakwamba chadema ndio walioongoza mazungumzo ya mikataba.Hebu oneni aibu japo kidogo tu kwaajili ya Mungu.Mliaandaa na maandamano na maazimio lukuki ya kupongeza viongozi wenu wa "chama"(ukweli ni genge la matapeli na wezi tu)kusheherekea wizi wa kizwazwa walio ufanya.Mlidhani wanaibiwa chadema?Leo mjivike uzalendo koko eti mnasikitika mlipoambiwa kipindi kile mlikuwa mmelewa mvinyo?Acheni kujiaibisha sikitikieni dhuluma mliyo ifanya kwa kizazi kijacho si kupongezana kwa uzezeta wenu
Nani ameongelea chadema? Punguza munkari bwamdogo
 
Acha ujinga, ulicho note ni hicho tu kwenye taarfa yake yote?
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Mwizi wetu hapa ni nani Shemeji yangu??Ni sawa ulupokuja mgombani kuposa nitakupa mdogo wangu na vikolombwezo vyote kwamba ni Mali yako leo nawataka wapwa wote eti Mali yangu kwani kwenye posa hatukukubaliana vyema??

Hivi mwizi ni Mimi au wewe uliyepewa Mwalimu ukaenda naye usukumani??

Wakati mwingine Watanzania tuwe wakweli ili Mungu aweze kutupa hata akili kidogo tu.

Si ndiyo Mwenyekiti aliyepigiwa makofi sana aliposema Wapinzani wanawivu wa kike?Akina Lissu wanapiga Kelele wakwekwa kizuizini Leo ati Acacia Katiba,hivi aliyemwingiza chumbani kwa baba nani??Siyo Baba mwenyewe??

Kwanini isifike mahali tukasema Mkapa umetuibia kwanini tuseme Acacia?? Tulitakiwa kuonyesha chuki kabisa kwa Mkapa na JK siyo kwa Acacia. Acacia wao tungeenda kushtakiana Mahakamani warejeshe Mali ya wizi waliyogawiwa,lakini wao si wezi, wezi ni watawala wetu wenyewe.
 
Hii itapita kama ya Dangote, madawa ya kulevya nk.

Kiukweli ripoti ipo biased, walioandaa ripoti wanaonekana wazi kabisa kuegemea upande wa Rais.

Hapa ni mradi wa watu wachache kutengeneza pesa, na mwisho wa siku itaibuka ishu nyingine itakayochukua attention kubwa.

Nilichokiona awamu hii, pesa haipigwi moja kwa moja kwenye miradi, bali rushwa kutoka kwa wawekezaji.

Muda utaamua, na ipo siku mambo yakakuwa mubashara.
ulaaniwe na kizazi chako na Lissu na Zitto, mmetumwa na mtashindwa tu
 
Wee njaaa(Mayala) una laana sio bure yaani umekosa cha maaana chakuandika unatuletea discussio za kipuuzi kuchepusha mjadala?
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.
😀😀
Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Unamjua Prof Ossoro wewe? Waulize waliosoma Economics UDSM..Halafu anaongea kama Omela vile😀😀😀😀😀😀
 
ndg mayala huna haja ya kushangaa kwani yanayotokea ni kawaida maana hata mteuaji Wa tume ni mmoja Wa wana ccm ambao wametufikisha hapa cha ajabu unaweza ukaja gundua ndio waliompinga mnyika kuleta mikataba bungeni pia jiulize wale wale waliosema hawarushi bunge live Leo wanahamasisha kuangalia riport najiuliza kwann kwenye uteuzi hakurusha live halafu kwenye upokeaji arushe jibu rahisi hapo ni anatafuta umaarufu kupitia sisi wabongo tusiojua a wala b, mwisho kwann kipindi cha kupitisha sheria aliitikia zile ndio? cha kujifunza hili nalo ni kama la sukari maana watanzania ni wepesi kusahau wangemuuliza kuhusu bei yake ya sukari
 
ulaaniwe na kizazi chako na Lissu na Zitto, mmetumwa na mtashindwa tu

Badala ya kuwalaani akina Mkapa unawalaani waliopigania madini miaka.Duh ukiwa CCM hata akili zinaondoka.

I real hate CCM pamoja na wakala wao wote yaani ni Chama ambacho hawa watawala wake yaani acha kabisa hawastahili kuendelea kuwepo duniani kwa sasa. Wauaji wakubwa hawa wamejilimbikizia Mali kwa kupitiliza.
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Sijasoma comment za watu ila nahisi utakuwa umeambiwa umehongwa kama Lissu, Zitto na Mnyika, kama hawajacomment HIvyo Basi wameanza kujielewa
 
Sensationalism is allowed especially when you do a presentation that has extensive political repercussions on the target audience. I think we need to draw a line between academic presentations and those with a political element.
 
ndg mayala huna haja ya kushangaa kwani yanayotokea ni kawaida maana hata mteuaji Wa tume ni mmoja Wa wana ccm ambao wametufikisha hapa cha ajabu unaweza ukaja gundua ndio waliompinga mnyika kuleta mikataba bungeni pia jiulize wale wale waliosema hawarushi bunge live Leo wanahamasisha kuangalia riport najiuliza kwann kwenye uteuzi hakurusha live halafu kwenye upokeaji arushe jibu rahisi hapo ni anatafuta umaarufu kupitia sisi wabongo tusiojua a wala b, mwisho kwann kipindi cha kupitisha sheria aliitikia zile ndio? cha kujifunza hili nalo ni kama la sukari maana watanzania ni wepesi kusahau wangemuuliza kuhusu bei yake ya sukari

Kuna Watanzania tulijua ni kick inatafutwa,tuliendelea na mishemishe za kusikiliza Bajeti mbadala. Nashangaa ati JPM miaka 20 anashangaa sheria na mikataba kuwa siri,hashangai mikataba yake ya ununuzi wa ndege na kivuko kibovu ilikuwa wa siri pia.

Ninawashangaa wapiga makofi wa Mtukufu kwao kila kitu ni makofi,leo Mkapa kaachwa uchi Badala ya kumuhoji Mkapa wanatukana Lissu sasa sijui Lissu ndiye AG wa serikali ya Mkapa.

Hakika Watanzania kuna mahali hatuko sawa kabisa,tunamatatizo ya kufikiri Siyo bure au tumerogwa na aliyeturoga kafa.
 
Mimi nilipoona tu watu wanashawishiwa kuangalia live presentation ya report nikajua hamna kitu.
Report inatolewa kama sherehe ya kumtoa mwali? Brass band inapiga mara kina Mrisho mpoto wanatumbuiza, hapo kuna professionalism kweli? Au kutafuta kick za kisiasa?
Kwaninii mtu aliyekataa Bunge lisionyeshwe live kwa kigezo cha gharama na watu kufanya kazi leo ahimize live kwenye mikutano yake kama sio kutafuta kick tu?
Aliyetuloga tunamfahamu, hatuhitaji Elimu kulifahamu hili.

Nashindwa kuelewa Logic ya Maandalizi mapana ya uwasilishwaji wa ripoti kuwa namna ile.Lengo haswa ni nini?.Wafanyakazi wanaacha shughuli kuja kukutizama?.

Nafananisha na Kiongozi kusifu umma uliokuja kumpokea kwa kudhani (Mahaba) badala ya kuumia kuona Ma-jobless kibao na shughuli kubwa mbele yake.Hiki ni kipimo tosha kuwa kuna tatizo sehemu na si kuona neema.
 
Back
Top Bottom