Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...

Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Paskali, maandiko yako huwa matamu sana ila unawaacha njiapanda baadhi ya wasomaji wako unapotumia lugha mchanganyiko bila kuwa na angalau tafsiri yake kwenye mabano, naamini kwa mfumo huohuo wa kuchanganya lugha unaweza kuwajengea uwezo wengine kama utafungia kwenye mabano tafsiri ya kile unachoandika kwa kiingereza na hiyo itasaidia wasomaji wote kwenda sawia katika uchangiaji wa mada letwa
 
Paskali,, yaani sisi watanzania sijui kwa nini ndani ya hii awamu tumezidi kuwa majinga kiasi hiki aiseee!! Eti professor,, linasoma taarifa kwanza huku linatetemeka utafikri limetoka kwenye kiroba!! Hovyo kabisa,, wasomi wa Tanzania ni hewa bora tubaki kama taifa lisilokuwa na wasomi haki ya nani!!
Sasa kama boss na PhD yake hawezi kuongea malkia unategemea nini kwa prof hyo
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Naona mmeshanunuliwa.....vyovyote walivyo ipresent lakini ukweli ni kwamba tuanaibiwa na we cant keep quite abou this
 
Hizi hadithi za tume na ndugu zake kamati ni namna wanasiasa wanavyotumia rasilimali za serikali kuendelea kutusimulia matatizo waliyotengeneza wao na kutuacha hewani.

Tumeshasikia vya kutosha. Kituko cha karne ni walivyotufanyia kwenye katiba.
Pesa zilizotumika pale zingeenda kufanya mambo ya maendeleo tungekuwa tumepiga hatua.
Mi ntaamini hili likitoka kwenye hadithi kwenda kwenye utendaji usioishia njiani yaani kwenye vikao vyao tu.
Vinginevyo, tusubiri hadithi ya matatizo mengine.
 
Kama kuna kamati ya tatu ijifunze kutokana na makosa haya,
ile ilikuwa Factfinding mission lakini mambo iliyokuja nayo,unashindwa kujua huyu professor veepe,,

mimi ni standard seven na english course kidogo kwa Ras,

lakini nilipoke holes kwenye presentation ndani ya dakika tano tu,nikapoteza na interest ya kumsikiliza,

at least hotuba ya Rais ni very captivating na inatia hamasa,but it was based on that presentation
 
Naona chadomo humu ndani wa avamia huu uzi na kutetea wezi

Vumilia tu, kuna post nyingi sana zinazosifia hiyo ripoti. Hivyo ngoja tupate mtazamo wa upande nwingine, huku kwenye mtazamo wa pili pia tunapata mambo mengi ya msingi. Nilichokiona kwa msoma ripoti ni hofu kubwa mbele ya rais ama ni mtu asiye na uzoefu wa kusimama mbele ya hadhira kama ile.
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! , jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be set aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!".

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news. Kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu hawa, then we have a very serious problem huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi!. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua mchanga wetu tuna balozi zetu, kama tumeshindwa nini kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, then hiyo ripoti haijajitosheleza.

Acacia ni listed company kwenye LSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Mimi nilisikiliza kidogo presentation ile. Niliposikia tu presenter ana-refer ripoti ya kamati ya kwanza nikazima TV nikaondoka kwangu kuingia mitaani kuendelea na shughuli zangu. Kwasababu nilijua tu kama hesabu za hicho kinachoitwa mapato yaliyopotea kama yanapigwa kwa zile figure na data za Prof Mruma basi hakuna haja hata ya kupoteza muda kusikiliza. Ni vichekesho.
Tatizo tukisema tunaitwa eti si wazalendo au tumehongwa, na blablabla nyingine kibao.
Sasa naelewa kuwa ni kweli ubora wa elimu hapa kwetu umeporoka ajabu. Tena kwa levels zote, si msingi, si sekondari, si vyuoni na hata hawa wanataauma wetu. Bure kabisa!
 
Pascal, haya mambo ni mazito mno, ila sisi tunayachukulia kirahisi sana...

Tume zote zinaendelea kuja na mambo ya kusadikika saaana mpaka nashindwa kuelewa maana ya usomi, data hazieleweki nafikiri ndio maana mtuhumiwa mkuu hapewi hizi report..
Uzalendo ni muhimu, lakini lazima tuangalie udhaifu wa tume tusije tukampa mtuhumiwa mkuu njia za kutokea..
Kweli kabisa....kuna wakati mtu unaweza anza jiuliza hivi nini maana ya kuwa msomi.kuna makosa makubwa sana kama wakipata wanasheria wazuri ....tutaongea na kuisha kiurahisi tu...kampuni haijawahi kusajiliwa its okay....sasa kwann alikuwa anatulipa na tunapokea hela?
2)yupo dse...aliingiaje huku bila kibali cha brela
3)TMAA kwann walikuwa wanawakagua na kuruhusu kuchimba
 
Njaa hukaa tumboni. Ikipanda kichwani ni hatari. Sensationalism ni indicator kuwa njaa imepanda kichwani.
Tunamkumbuka Mwakyembe alivyopresent Richmond.
 
Kuna watu wanasema kwa usomaji ule Profesa kapiga Kitwanga kuliko Kitwanga mwenyewe.

Kuna ukweli hapo jamani?

Maana mara nyingine zile trillioni na bilioni alivyokuwa anazipinda na kusoma kama mtoto anayejifunza kusoma, kusoma anasoma yeye lakini unajisikia vibaya wewe msikilizaji huku.
Tumsamehe mzee wetu jamani umri umekwenda. Ni prof. makini sana amenifundisha uchumi UDSM. Kuna watu wengi amewafundisha na wengi ni Madocta kama si maprof hapohapo UDSM.
 
Naona chadomo humu ndani wa avamia huu uzi na kutetea wezi
Ndio ujinga ulio kujaa.Hao wezi waliletwa na Chadema?unaacha kujadili ukweli unawayawaya na chadema kanakwamba chadema ndio walioongoza mazungumzo ya mikataba.Hebu oneni aibu japo kidogo tu kwaajili ya Mungu.Mliaandaa na maandamano na maazimio lukuki ya kupongeza viongozi wenu wa "chama"(ukweli ni genge la matapeli na wezi tu)kusheherekea wizi wa kizwazwa walio ufanya.Mlidhani wanaibiwa chadema?Leo mjivike uzalendo koko eti mnasikitika mlipoambiwa kipindi kile mlikuwa mmelewa mvinyo?Acheni kujiaibisha sikitikieni dhuluma mliyo ifanya kwa kizazi kijacho si kupongezana kwa uzezeta wenu
 
Mimi nilipoona tu watu wanashawishiwa kuangalia live presentation ya report nikajua hamna kitu.
Report inatolewa kama sherehe ya kumtoa mwali? Brass band inapiga mara kina Mrisho mpoto wanatumbuiza, hapo kuna professionalism kweli? Au kutafuta kick za kisiasa?
Kwaninii mtu aliyekataa Bunge lisionyeshwe live kwa kigezo cha gharama na watu kufanya kazi leo ahimize live kwenye mikutano yake kama sio kutafuta kick tu?
Wakati bunge linaonyehwa live uliwahi kufanya nini kwa nchi kama faida ya kuonyesha bunge live, kama sio kukaa unatizama bunge siku nzima ili ukalete ushabiki kwenye vijiwe na ubishani wa simba na yanga..bora walivyozuia ili muda huo ukafanye kazi ulishe ndugu zako!
 
Back
Top Bottom