Niko double mkuu
..double...je?orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
Hakyamungu vukani nilipoona ID yako hata singeweza kukisia kama ni ME au KE. Type ya ID kama yako ndio hasa zinatatiza humu. Thanx though. By the way uko singo au double?
Huo ni mshangao au jinsia?
orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
hebu oneni Asprin anavyofanya ukaguzi, ile Dadavuzi Mpakato kashaiweka kando...
Kuna watu wa aina mbili 1.Single na 2.wajane(walioachika ama kutemwa)
naona sasa twanena kwa lugha moja...maana kule kwingine nimekuintrodyuz vyema sana
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba hapa uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako
Arushaone lengo lako ni sensa au kujua jinsia ili uzidi kutongoza?????
Shauri yako watu wana IDs zaidi ya mbili, moja ya kike nyingine ya kiume, utaingizwa chaka mpaka ushangae.
dats y ailavyu daddy!!!!
Kazi ya ukaguzi nimeachiwa mimi.. Vigezo na masharti kuzngatiwa.