Sensa ya 2012, Wanaume walikuwa 21,869,990 na Wanawake walikuwa 23,058,933. Tutazame taarifa ya UN robo ya kwanza 2021

maiyanga1

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,317
1,790
Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa.

Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa:
Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8
Wanawake bilioni 5.6
Wanaume bilioni 2.2
Kati ya wanaume hao bilioni 2.2
Bilioni 1 wameshaoa
Milioni 130 wapo jela
Milioni 70 wana matatizo ya akili (wakiwemo wanaoua wake zao kwa njia mbalimbali)
Wanabaki bilioni 1 ambao kati yao:
50% hawana ajira
3% Mashoga
5% Mapadre
32% wana umri zaidi ya miaka 66
10% ni familia/ndugu.
(UN Demographic survey 1st quater 2021)

Wanawake wana cha kujifunza hapa, kwa haraka haraka hakuna mwanamme wa mke mmoja na huyo uliye naye muheshimu, usiwe mbabe kwake anaweza kuwa katika ile milioni 70 akakudhuru.

Tusubiri sensa ya 23 August tuone wameongezeka wanawake wangapi?
 
Wanaume 2.2 Bilioni tu? Hii haiwezi kuwa kweli

476A3DD7-1B42-4914-A3B7-84AE28DBE78B.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Ccc
Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa.

Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa:
Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8
Wanawake bilioni 5.6
Wanaume bilioni 2.2
Kati ya wanaume hao bilioni 2.2
Bilioni 1 wameshaoa
Milioni 130 wapo jela
Milioni 70 wana matatizo ya akili (wakiwemo wanaoua wake zao kwa njia mbalimbali)
Wanabaki bilioni 1 ambao kati yao:
50% hawana ajira
3% Mashoga
5% Mapadre
32% wana umri zaidi ya miaka 66
10% ni familia/ndugu.
(UN Demographic survey 1st quater 2021)

Wanawake wana cha kujifunza hapa, kwa haraka haraka hakuna mwanamme wa mke mmoja na huyo uliye naye muheshimu, usiwe mbabe kwake anaweza kuwa katika ile milioni 70 akakudhuru.

Tusubiri sensa ya 23 August tuone wameongezeka wanawake wangapi?
Kwahiyo hao wanawake nao hakuna walio jela, wenye maradhi, wazee, wasagaji, watoto wadogo n. K ni wanaume tu wapo category hizo????!!!!
 
Back
Top Bottom