mohamed Shoshi,
Hizo takwimu za uongo ndio zimekuwa zikitumiwa katika uteuzi na maamuzi kama ilivyo elezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na Jumuiya ya Kiislam ya OIC kwa sababu raia Wakiristo ni wengi kuliko Waislam.
Hizo takwimu za uongo ndio zimefanya hata serikali Wakiristo ni wengi...Wakuu wa Wilaya wapo 133. Waislam 42 Wakiristo 91 Mawaziri Waislam 9 Wakiristo 21. Manaibu Waislam 8 Wakiristo 17.
Hii nchi tunapoelekea tutakuja kupigana mitutu siku moja.
Wanamgambo wa Kiislamu wa Taliban wamewachijna wanawake wa kiislamu kwa kosa la kuhudhuria kwenye muziki huko Kandahar.
Source: DW mchana huu.
My Take: kelele zote hizi ni kutaka kutuletea sheria za kishenzi na kiuwendawazimu kama hawa Waislamu wa Taleban.
Sisi kwetu walimkuta shemeji yangu-ambaye ni mke wa kaka. Maswali mengi,kwa mujibu wake,amejibu sijui. Hasa ya umri na elimu. Elimu yangu tu ndio amesema 'CHUO kikuu'. Yaani...
Mkuu ebu tujaribu kujadili kwa mantiki hiyo hiyo uloitumia hapo. Ikiwa wananchi hawajawahi kuhesabiwa toka mwaka 1967 kwa dini zao, hizi takwimu za kuonyesha Waislaam nchini ni wangapi na Wakristu wangapi zinatoka wapi?. Kama sio 2 au 3 kwa nini serikali imeingia muafaka na dini moja kuendesha Elimu na Afya nchini wakati dini nyinginezo zimeachwa wala wasirufishiwe mali zao.Ritz, umekuwa mtetezi wa serikali ktk mambo mengi kias kwamba nashawishika kuamini kwamba una nafasi kubwa serikalini au kwenye chama tawala na hivyo una nafasi ya kufanya mabadiliko kwa kuongea na wahusika wakuu moja kwa moja. Wengine hapa tunachanganyikiwa, maana muda wote mnaisemea serikali-mnashindwaje kujisemea nyie wenyewe?
Kama vile nisivyounga mkono wanawake wachaguliwe kwa sababu ni wanawake, sipendi mtu apewe madaraka kwa sababu ni mkristo/muislam. Pia sipendi, mlemavu apewe cheo kwa sababu ni mlemavu-napenda apewe nafasi kwakuwa anaweza kuitumikia ipasavyo,japokuwa ni mlemavu.
Nasikitika sana ninapoona, viongozi wote uliowataja hapo juu wanateuliwa na rais na rais ni muislam. Hapa kuna mambo matatu: 1. Rais ni muadilifu na hivyo anaangalia zaidi uwezo kuliko dini. 2. Rais hawapendi waislamu japo yeye ni muislamu. 3. Rais wetu ni dhaifu, hivyo anawachagua wakristo wengi zaidi kwa kuwaogopa wakristo na "mfumo kristo".
Binafsi, sikubaliani na namba 2 na 3, kwahiyo naona propaganda tu hapa ambazo ni kama janga ambalo kila mtu atakula na wakwao. By the way, wakristo ni wakina nan? Ni wakatoliki? Walutheli? Walokole? Deep down, hakuna "wakristo", kuna madhehebu ya kikristo.
Ni ujinga kwani hao walipotoka huko station hawajakata ticket??? Kwann wasichukua takwimu za kwenye Rail station?
mohamed Shoshi,
Hizo takwimu za uongo ndio zimekuwa zikitumiwa katika uteuzi na maamuzi kama ilivyo elezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na Jumuiya ya Kiislam ya OIC kwa sababu raia Wakiristo ni wengi kuliko Waislam.
Hizo takwimu za uongo ndio zimefanya hata serikali Wakiristo ni wengi...Wakuu wa Wilaya wapo 133. Waislam 42 Wakiristo 91 Mawaziri Waislam 9 Wakiristo 21. Manaibu Waislam 8 Wakiristo 17.
Hii nchi tunapoelekea tutakuja kupigana mitutu siku moja.
Mkuu ebu tujaribu kujadili kwa mantiki hiyo hiyo uloitumia hapo. Ikiwa wananchi hawajawahi kuhesabiwa toka mwaka 1967 kwa dini zao, hizi takwimu za kuonyesha Waislaam nchini ni wangapi na Wakristu wangapi zinatoka wapi?. Kama sio 2 au 3 kwa nini serikali imeingia muafaka na dini moja kuendesha Elimu na Afya nchini wakati dini nyinginezo zimeachwa wala wasirufishiwe mali zao.
Mfumo Kristu ni mfumo ulotumika wakati wa Ukoloni na hakuna adui mkubwa wa Watanzania kama ELIMU na AFYA na inapofikia vyombo hivyo vinawekwa mikononi mwa kundi moja kajka walivyofanya wakoloni huoni kama ni mfumo ule ule wa wakoloni?..
Kwa nini mnaogopa senda kuweka kipengele cha dini ikiwa mnaamini hakuna bauya linalofanyika? Binafsi yangu mnanipa mashaka ambayo hayakuwepo maana sioni sababu ya kuogopa kipengele hiki unless kweli kuna siri fulani inafanyika. kwa nini tusifanye jitihadi ku prove them wrong (sensa nhii) badala yake tunataka uendelea kuficha kisichokuwepo..
Mkuu nadhani huelewi maana ya mjadala. Tunaobishana hapa ni Waislam na Wakristu hakuna pagan alokuja na kujieleza hivyo majibu yangu yanawaelekea wadau wa hoja hii. hapo bold nimetoa hoja kuuliza hizo takwimu mnazipata wapi? nijibu kwanza halafu weka swali la nyongeza sio kuruka swali langu na kuanza kutafsiri upendavyo.Sensa haifanywi kwa kuwa watu wanaogopa au hawaogopi. Sensa haifanywi vilevile ili kuondoa kiu ya makundi kimtizamo. Sensa hufanywa ili kuweza kupata takwimu zitakazoiwezesha serikali kufikia maamuzi fulani kwa usahihi. Hapa kwetu hatuna jambo lolote tunalolifanya kwa msingi wa dini.
Na mbona mnakazana sana juu ya wakristo na waislamu, kwani nchi hii ina dini mbili tu? Hapo kwenye bold, unaonaje hayo madai yenu mngeyapeleka kwa aliyetoa hizo takwimu mnazozilalamikia? Mwambieni amekosea kwa hiyo mnataka mfanye kwa pamoja. Hii ya serikali ni kwa ajili ya maendeleo.
km huku kwetu Baba anaweka msimamo hahesabiwi kwa sababu walishaamua, sasa km Mama (Mke) na watoto wanajua majibu yake wamsubiri wa nini wakati yeye alilala humo ndani. Hata wewe km Mkeo hayupo mjazie si Elimu yake unaijua?
Je nyumba ni ya nani
ya kupanga au ya kwako?
imejengwa kwa saruji?
ina sakafu ya saruji
una Runinga
una simu ya mkononi?
sensa inaenda vizuri saaanaaaa waliotaka yasiwe wameumbuka
Sisi kwetu walimkuta shemeji yangu-ambaye ni mke wa kaka. Maswali mengi,kwa mujibu wake,amejibu sijui. Hasa ya umri na elimu. Elimu yangu tu ndio amesema 'CHUO kikuu'. Yaani...
Mkuu ebu tujaribu kujadili kwa mantiki hiyo hiyo uloitumia hapo. Ikiwa wananchi hawajawahi kuhesabiwa toka mwaka 1967 kwa dini zao, hizi takwimu za kuonyesha Waislaam nchini ni wangapi na Wakristu wangapi zinatoka wapi?. Kama sio 2 au 3 kwa nini serikali imeingia muafaka na dini moja kuendesha Elimu na Afya nchini wakati dini nyinginezo zimeachwa wala wasirufishiwe mali zao.
Mfumo Kristu ni mfumo ulotumika wakati wa Ukoloni na hakuna adui mkubwa wa Watanzania kama ELIMU na AFYA na inapofikia vyombo hivyo vinawekwa mikononi mwa kundi moja kajka walivyofanya wakoloni huoni kama ni mfumo ule ule wa wakoloni?..
Kwa nini mnaogopa senda kuweka kipengele cha dini ikiwa mnaamini hakuna bauya linalofanyika? Binafsi yangu mnanipa mashaka ambayo hayakuwepo maana sioni sababu ya kuogopa kipengele hiki unless kweli kuna siri fulani inafanyika. kwa nini tusifanye jitihadi ku prove them wrong (sensa nhii) badala yake tunataka uendelea kuficha kisichokuwepo..
Mkuu nadhani huelewi maana ya mjadala. Tunaobishana hapa ni Waislam na Wakristu hakuna pagan alokuja na kujieleza hivyo majibu yangu yanawaelekea wadau wa hoja hii. hapo bold nimetoa hoja kuuliza hizo takwimu mnazipata wapi? nijibu kwanza halafu weka swali la nyongeza sio kuruka swali langu na kuanza kutafsiri upendavyo.
Ni kweli sensa haifanyiki kwa kuogopa lakini ajabu mnaogopa! ndio ukweli naozungumza hapa. Sensa inafanywa kwa kutoogopa na kujua makundi ya Kijamii ili kuwajengea msingi wa maendeleo (Policy na Programs), hii ndio maana kamili ya sensa na sio hesabu ya vichwa, hawa ni binadamu waliotengana ktk jamii za uzalishaji wala sio machungwa ama ng'ombe unawapeleka malishoni. Maendeleo yao yanapatikana kutoka kwao wao sio serikali ya kijamaa tena, hivyo jumuiya zao zinahusiaka moja kwa moja ktk maendeleo hayo.
Halafu unaposema hapo kwenu una maana gani? mbona shuel na Hospitla zinaendeshwa na vuyombo vya dini ebu ondoa jina la dini hizo kama mtakubali?.. Shule inaitwa Saint Michael au Almuntazil unataka kunambia hizi zina maana gani.. Mkuu wangu binafsi I believe in separation of the Church na State lakini kama vyombo vya dini vinaingilia mambo ya state huwezi kunambia hatufuati kwa sababu wewe mkristu kt kitabu lakini nje unashirikisha serikali na church - samahani. Swala hapa sio kati ya Wakristu na waislaam bali serikali na vyombo hivi.
kadada kamoja kakarani ka sensa na kakoti kake kaniuliza,"vipi hali yako ya ndoa ,umeoa",na mie nikamuuliza palepale "na wewe umeolewa" kakabaki kanacheka cheka tu