Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Hayo ya lugha mbona wengine hatukuulizwa? Mtaalam wa sensa atusaidie kwa hili...
Mkuu kama hukuulizwa swali la kujua lugha ngapi basi amini kwamba hii sensa inaendeshwa kama COMEDY!! Swali hilo lipo Mkuu inaonesha M-sensishaji alikuwa amechoka hivyo akamua kuchakachua maana si unajua kwenye survey huwa kuna kujijazia tu ili kutimiza wajibu wa kumaliza madodoso!!!??
Pole sana Mkuu ndo sensa yetu hiyo! Serekali Legelege, sensa legelege, chama legelege sasa sijui tutafika kweli???