Sensa 2012: Yanayojiri

mkuu zoezi la sensa lipo kisheria nchini na si suala la vyama. thats why dr slaa na viongozi wote wa cdm walikuwa wanawahamasisha wananchi wote wa tz washiriki bila kujali itikadi au dini. cdm ni chama makini ambacho kipo kwa ajili ya watanzania wote. so kamanda mnyika, kikauli yuko right kabisa.
 
Mkuu

Kwa maana yoyote ile sense haiendeshi kwa maana ya itikadi ya vyam wala sensa si kwa wanachama wa chama cha siasa.

Nape kwa kutanguliza wanachama badala ya watanzania kama ni kweli kasema maana sina hakika hayuko sahihi.

Mnyika yuko sahihi ni sensa ya watanzania, nadhani akili yake ni ndefu zaidi.
 
kwa hiyo nape kapingana na mwenyekiti wake,naanza kuamini kuwa huyu jamaa ni mropokaji
 
Hivi nyie watu kwa akili zenu mnafikiri CCM itaenda kila nyumba na kugawa zaka kama maendeleo hivyo wanachotaka kujua ni hesabu ya vichwa. Hivi kweli mnafahamu maana ya sensa? mnafahamu takwimu hizo zitaisadia vipi serikali kuweka mipango yake ya maendeleo au mnasoma tu na kukisia?.. Maana naona kama vile mnafiiri serikali itapita nyumba hadi nyumba wakigawa maendeleo. Ujinga mwingine wa hizi nidhamu za woga ndio maana Afrika hatujaendelea na hatutaendelea kamwe.

Mfumo kristu at work haiwezi kuwakandamiza Waislaam wakati wote, muda wote itafika mahala watashtuka na sasa nadhani mmefika maji ya shingo maana sioni sababu kabisa ya kuondoa kipengele hiki kama hakuna mfumo kristu maana mnaogopa ukweli utadhihirika.. Kama hamuogopi kitu hofu yenu nini haswa? Yaani tukijua kuna wakristu asilimia 60 au 30 tutafanya nini?. Zamani iliogopwa sana kujua idadi ya wanawake ktk nchi na sehemu za kazi ama mashuleni. Ilipokuja dhihirika wanaume wakaona wameondolewa nguvu zao. Sasa ni wakati wa kujua ukweli mwingine...
 
Nafurahi japo nipo nje lakini nimeshahesabiwa. Nimeongea na nyumbani wamenipa taarifa kuwa karani wa sensa alipita na kuwahesabu akiwemo na mimi. Familia yangu ilitoa ushirikiano mzuri na kukamilisha hilo zoezi kwenye mji wetu.
 
Sasa mtu km hahesabiwi asubiri aone nini kitabadirika.
 

leo nimefurahi kanisani mchungaji kasema tuwaombee wenzetu wa mlengo wa pili,tuwapende na tuwasaidie, tusiwadharau kwa sababu HAWANA ELIMU.
 
mimi huku nimewahoji vijana kama 100 hivi wote kwa leo hawajahesabiwa
 
Vp yule mungu wa kishkaji anakuja duniani through uk*, kula kwenda choo, kisha kupigwa, akili zake zinazidi mbili?

UNAAMIN ALIZALIWA?,AKAPIGWA?,AKAFA? AKAZIKWA? AkAFUFUKA? AKAPAA MBINGUNI? Kama jibu ni NDIYO,AMINI PIA ATARUDI kuchukua walio wake.
 
Sidhani kama wengine tutahesabiwa kwani nimeshuhudia Mi kwa macho yangu na hata nikasalimiana nao hawa waliopewa zoezi hili lakini wamewahesabu jirani zangu na kwangu wakatuacha.

Nikawauliza hapa hamtupitii? Majibu yakawa tutawarudia!
Na mpaka nang'atuka home hawajarudi tena!


Hiyo ndiyo SENSA!!
 
leo nimefurahi kanisani mchungaji kasema tuwaombee wenzetu wa mlengo wa pili,tuwapende na tuwasaidie, tusiwadharau kwa sababu HAWANA ELIMU.
Bila shaka huyu Mchungaji wenu naye hana akili maana huwezi kumwombea mtu ila anajiombea mwenyewe..Riziki ya mtu haitoki kanisani, Mungu huwapenda wote wenye elimu na wasiokuwa na elimu.

Huo mlofanya na mchungaji wenu ni shiriki, elimu ya uchawi kuomba pengine sanamu mkifiri nyie wabora kuliko Mungu mwenyewe. Huyo Mchungaji pengine hana hata nusu ya ulokole lakini mnamuamini sana kumbe wewe mbora kuliko yeye. Jiombeeni nyie wenyewe mtafanikiwa...
 

mi wamemhesabu ma wife wangu pekee wakti sipo.
 

inawezekana wewe ndiyo Ayman Al Zawahiri ... second in command wa RIP Bin Laden

your brain is full of hate and you smell satanic acts
 
bila kumzibiti atakimaliza chama kabisa na kufanya kazi ya CDM iwe nyepesi mno kuelekea 2015. CCM wafanye kitu haraka sana kukinusuru chama.
 
Mods..am calling ur attention on this thread.
 
mi wamemhesabu ma wife wangu pekee wakti sipo.

wife wako wakuwataja watu wanaoishi na kulala kwenye hiyo nyumba yenu? Ni ngumu kukuta kila mtu nyumbani wakati wa hili zoezi ndiyo maana majibu sahihi yanahitajika kama watu wametoka au wapo nje ya nchi nk..
 
hapa ni sawa na kufananisha wanafunzi wawili. yaani mwenye shahada ya uzamivu na yule wa vidudu
Mnyika(uzamivu) v/s Nape(vidudu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…