Wazamiaji wa bila ticket na wale wa mission town ni wengi kuliko hizo ticket za stesheni, cheza wewe!Ni ujinga kwani hao walipotoka huko station hawajakata ticket??? Kwann wasichukua takwimu za kwenye Rail station?
hongera lol
mie sihesabiwi
'siasa kali' lol
Ningefurahi waislamu wangegomea kupiga kuraMpaka sasa, idadi kubwa ya waislamu wamegoma laivu bila kujificha. Msikubali kudanganywa. Watu wengi nilio ongea nao wameniambia wamekataa kuandikishwa. Nimeaongea na mwandishi mmoja wa sensa akaniambia hali ni tete serekali imekula hasara kwa kiburi chao. Tunasubiri mswada bungeni wa kutokua na imani na rahisi. Tuchague raisi mwengine.
Hapa hata ukimuuliza kipofu hawa ni nani atakwambia ni Waislamu.
Kwahiyo na wewe umeshinda msikitini?
Hapa hata ukimuuliza kipofu hawa ni nani atakwambia ni Waislamu.
Ndugu yangu sijui nikwambieje. You are so brain washed. Sensa hii, ijue idadi ya walemavu, idadi majumba ya ibada, idadi ya mifugo. Lakini sio idadi ya watu kwa mujibu ya dini zao. Vipi serekali itapanga mipango yake in focus of the diversity of its people. Nini kimepelekea kuchinja pundamilia kwa wadzabe kama wasingejua the diversity of the tribe. Yaani kama hili ni swali umeulizwa darasani halafu ukalijibu bila kujumuisha kipengele cha dini. Sidhani kama ungelifaulu kwa kiwango cha juu. Yaani kutokujua watu kulingana na dini zao sio logic ya sensa yoyote duniani. Nadhani wewe hapa ndio mjinga. Brain washed.
Nijuavyo mimi sensa itaendelea through 7days. Sasa kisa cha kuwasimamisha abiria ninini? Na wewe umekubaliana na jambo hilo?
Ungekuwa uchaguzi ningeelewa.
Nimesubiri kuhesabiwa tangu asubuhi hapa Mbezi beach mpaka mida hii hakuna cha karani wala mjube kapita,sasa najiuliza kama wasipokuja leo itakuwaje maana mimi na mume wangu ni watu wa kuhangaika na tukitoka wote kunabaki mlinzi?
you the biggest dumb brain washed , cha ajabu you are brain washing yourself and your fellow wajinga!
sensa si mara ya kwanza kufanyika nchini na kipengele cha dini hakipo siku zote, leo hii kipengelke cha dini mnakitaka kwa maslahi gani? mumetumwa? mantumia masaburi kufikiri?
ujinga kweli ni mzigo!
Kumbe ukitaka chadema na kanisa wasupport ccm, ni simple sana. Jk kweli ni zaidi ya mwanasiasa.
Kwahiyo na wewe umeshinda msikitini?
Baadhi ya nyie waislam mnakubali kuongozwa na vipofu kama wakina shehe ponda,poleni sana
Sensa hii itaonyesha jinsi wakristo tulivyo wengi.Mie najiandaa kubandika bango langu la "Nyumba hii ni ya waislam hatuhesabiwi" ili huyo kalani wenu asijisumbue kufika hata uwani kwangu.