tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
wamtafute na mufti wa bakwata wamuweke live na yeye....
kiongozi mkuu wa waislam?? kuwa sirias mkuu!
Subiri 2015 kwenye mikutano ya kampeni ukomae na swali hili...usipopata jibu pigia kura chama kingine. Lakini nina wasiwasi itakapofika 2015 kama kawaida watu wataanza tena kutumiwa na kudanganyana kwenye nyumba zao za ibada na mwisho wa siku mtaipigia tena kura CCM kukikomoa chama kingine kama mlivyofanya 2010. Tukifika 2022 mtaanza tena kulalamika hivyo hivyo hatuoni maendeleo ya miaka 10 iliyopita lakini tukifika 2025 kwenye uchaguzi mtadanganyana zaidi na zaidi kwenye nyumba zenu za ibada na mpaipigia kura tena CCM kukikomoa chama kingine...Mzunguko unaendelea na jinsi siku zinavyokwenda ni hawahawa wanaolalamikia mfumo kristu ndiyo wanaotumika kuirudisha serikali ileile wanayoilalamikia madarakani...
Wadau mi niko border Tunduma hapa navuka, kurudi huko mpaka baada ya wiki mbili itakuwaje?
Unakumbuka Igunga ni viongozi gani wa dini walisimama na kusema waislam waichague ccm na siyo chadema? Sasa kitendo hicho ndiyo kilitokea sana kwenye misikiti 2010.Usiwe na akili kama za Nguchiro unataka kutuaminisha walioipigia kura CCM wote ni Waislam, waliomchagua Lowassa ni Waislam, waliomchagua, Dr Chami ni Waislam, waliomchaguwa Anna Kilango ni Waislam, waliomchagua Ole Sendeka, ni Waislam, waliomchagua Aggrey Mwali, ni Waislam, Waliomachagua Mwakyembe, ni Waislam, waliomchagua Amos Makala, ni Waislam, waliomchagua John Komba, ni Waislam, waliomchagua John Nchimbi, ni Waislam...orodha ipo ndefu.
Ni ujinga kwani hao walipotoka huko station hawajakata ticket??? Kwann wasichukua takwimu za kwenye Rail station?
Kiongozi wetu mkuu wa waislam Mufti wa Tanzania amesema anayekataa kuhesabiwa ni Kaffir
Huo ni upumbafu..mbona hawasimamishi ndege..yaaani hii nchi bana
Mbona makarani hawana sare zilizokuwa zinasemwa kwenye vyombo vya habari, huku mpwapwa hawana sare tutawaaminije? vitambulisho pekee yake havitoshi,
NIMEIPATA kwa watendaji wake ..."Asiekubali kuhesabiwa nyumbani kwake, atahesabiwa rumande"... Leonidas T. Gama!
Mufti ; muilislamu asiye hesabiwa ni" mkirsto (kafiri)"" wakristo ndo wamegoma kwani... fikri we mufti unabwabwaja
Mufti alishakubali, labda ungesema Ponda Issa
Kikwete amewakejeli waislamu waliojifungia misikitini..
Mie nimewaandalia UGALI makarani..najua watakua na njaa hela waliopewa ishaisha.