Senetor anaumwa balaa!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Jamani wadau wa MMU,mwenzenu nasumbuliwa na mafua balaa,nimeshndwa hadi kuhudhuria pindi leo.niombeeni nipone haraka,pia anae jua dawa ya mafua anisaidie,maana yananinyima raha mwenzenu.
 
mtalia mamba mamba weee
siku mtaliwa simba hatutachukulia siriaz.

Tunakuja tamamaki, mmebaki mifupa tu.
 
Acha kudeka mtoto wa kiume
 
Sasa mafua ndo yakutangaza unaumwa sana? Na wanaoumwa kweli watasema nini?
 
nimeshajua unacholenga!..napita kando...jaribu jf doctors watakusaidia...
 
Inabidi uzuiwe kama kipindupindu usionane na watu!
 
Khaaaa! Si nikajua seriuos bwana. Simba, Simba! watu wakaenda kumbe hakuna Simba... Siku alipotokea Simba kweli..
 
Sasa mafua ndo yakutangaza unaumwa sana? Na wanaoumwa kweli watasema nini?

ukiniona hali niliyo nayo,lazima utanihurumia lizy.
 
Nunua Coldrill utatumia just one day the next day u will be fine. Wish u quick recovery
 
Kwani Huna kinga nyingi mwilini mpaka mafua yawe ugonjwa wakupiga mbiu na kuombewa juuuuu? Ebu jipatilize.
 
we yapeng'e 2 mpaka yaishe,yakiisha ndo umepona.pole
 
Yaani weweeeeeeeeeeeee......bora limerudi na mafua usipone! Unatuogopesha namna huyo kumbe ugonjwa wa mapenzi alaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…