Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
macho yao sawa na prawns hakuna tofauti, nenda feri kawafananishe halafu utapata jibu
wengine huwa wanakula wabichi wanalia kwach kwach
macho yao sawa na prawns hakuna tofauti, nenda feri kawafananishe halafu utapata jibu
Kula wadudu yataka moyo wa kimugabe,labda naweza kula kipindi cha njaa kali(starvation).
I miss senene, bora msimu umefikaUnakula burger farkhina? Ni mpenzi? au unaongelea senene?
My imaginations tell me it's Byarushengo burger from BK! (Note the alliteration)Mc Donald burger from BK iweeee
Must be exceedingly delicious and nutritious.
Hii burger tamu sana,achana sijui beef na chicken burger.
I miss senene, bora msimu umefika
Mnaona ujanja kula wadudu? SIE MOSHI tunakula nguruwe na mbusi.Hehehe sisi wahaya wabunifu sana..
ha haaa, kumbe nawe ni muumini!Haya nami uniwekee kama kilo moja ya senene lol!!!! Wakikaangwa vizuri ni watamu ile mbaya.
ha haaa, kumbe nawe ni muumini!
usijali nitakuwekea. ila si unajua sheria ya kupewa senene na mimi? uje na kitenge kuwachukua, lol!
BAK na Fixed Point hii kitu mwenzenu imenipitia kushoto nakumbuka niliwahi kula wakati wa utoto baada ya kuhamia mkoa mwingine basi ndio ikawa mwisho. Nimekuja kuwaona tena baada ya kuishi na mpenzi wa hii kitu kwani mr anatokea bk. Basi mgeni akija tokea pande zile lazima alete senene sijawahi kujaribu kuonja hata sijui nawaonaje tu.
Natamani ningeweza lkn najifahamu nitashindwa kumeza. Akili yangu huwa ikigomea kitu basi hata nijitahidije huwa haibadili msimamo. Nakumbuka wakati flani nilienda mahali wanajua huwa sili kitimoto basi wakanitega wakaniletea msosi na nyama. Nilipoonja tu nikawaambia hii sio nyama niliyozoea kwani sikuweza kumeza. Ndipo waliponiambia ni kitimoto nikacheka sana kwani niliwahi kutaka kujifunza kuila sikuwezaga.Ablessed jaribu kuonja halafu wakati unaonja fumba macho lol!!!! Hahahaha ili usione macho na vichwa vyao. Ni protein nzuri sana.
kweli ila mie zizipendi naona kama nakula wadudu mmmmh naogopa wata nin'gata mdomo mie burewengine huwa wanakula wabichi wanalia kwach kwach