Senene burger kutoka Bukoba

attachment.php

Hii burger tamu sana,achana sijui beef na chicken burger.
attachment.php
Must be exceedingly delicious and nutritious.
 
Haya nami uniwekee kama kilo moja ya senene lol!!!! Wakikaangwa vizuri ni watamu ile mbaya.
ha haaa, kumbe nawe ni muumini!
usijali nitakuwekea. ila si unajua sheria ya kupewa senene na mimi? uje na kitenge kuwachukua, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! lol!!!! Kitenge cha Bongo au cha Zairwa? :):) Sikujua kama nawe huwa unatinga ndani ya hii kitu. Picha please!!! hahahahaa :) halafu hii kitu shurti kwa kilemba kama cha pacha wako Ablessed ndio inanoga. Hawa wadudu na mimi ni muumini. Walitengenezwa kwa mara ya kwanza home basi nikaonja na kutokea kuwapenda sana.

ha haaa, kumbe nawe ni muumini!
usijali nitakuwekea. ila si unajua sheria ya kupewa senene na mimi? uje na kitenge kuwachukua, lol!
 
Last edited by a moderator:
BAK na Fixed Point hii kitu mwenzenu imenipitia kushoto nakumbuka niliwahi kula wakati wa utoto baada ya kuhamia mkoa mwingine basi ndio ikawa mwisho. Nimekuja kuwaona tena baada ya kuishi na mpenzi wa hii kitu kwani mr anatokea bk. Basi mgeni akija tokea pande zile lazima alete senene sijawahi kujaribu kuonja hata sijui nawaonaje tu.
 
Last edited by a moderator:
Ablessed jaribu kuonja halafu wakati unaonja fumba macho lol!!!! Hahahaha ili usione macho na vichwa vyao. Ni protein nzuri sana.

Natamani ningeweza lkn najifahamu nitashindwa kumeza. Akili yangu huwa ikigomea kitu basi hata nijitahidije huwa haibadili msimamo. Nakumbuka wakati flani nilienda mahali wanajua huwa sili kitimoto basi wakanitega wakaniletea msosi na nyama. Nilipoonja tu nikawaambia hii sio nyama niliyozoea kwani sikuweza kumeza. Ndipo waliponiambia ni kitimoto nikacheka sana kwani niliwahi kutaka kujifunza kuila sikuwezaga.
 
Back
Top Bottom