Senator John McCain kutoendelea na matibabu ya saratani ya ubongo

Senator John McCain kutoendelea na matibabu ya saratani ya ubongo

Shujaa wa Marekani na Senator, John McCain aamua kuacha kuendelea na matibabu ya saratani ya ubongo.

Hii maana yake ni kwamba maisha yake yamekaribia kufikia tamati hapa duniani.

Inasikitisha.

https://www.cnn.com/2018/08/24/politics/john-mccain-cancer-treatment/index.html

Sasa mkuu unasikitika nini! Mbona husikitiki wanaokufa middle east, iraq,palestina,syria,yemen na afghanistan? Kwani sio binadamu na wao. Mpaka leo watoto na wamama wanakufa kwa ajili yake na hao MBWA WENGINE. Haya limeshakufa tayari na bado wengine mbwa hao
 
Back
Top Bottom