BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 235
- 396
fainali inachezwa saa ngapi
Wewe ni mtanzania au mzanzibar
kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema
View attachment 652500
Hiyo ↑↑ Ndiyo Bendera Ya Kwanza Ya Wazanzibari Baada Ya Kupewa Uhuru Wao Kamili December 1963...
Ingawa Uhuru Huo ulidumu Mwezi mmoja tu na Kupinduliwa Mwaka 1964.