Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

Hello
Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi Je wewe unavaa kwa muda gani?



Sent using Jamii Forums mobile app
aseee,huwa haunuki?haupati kinyaa ukitazama?badilika we jamaa,nguo ya ndani ni siku moja tu iwe vesti,chupi au boxer. Kama huna pilika,say umechil tu home, labda,labda siku mbili.
 
Mi nguo zote navaa siku moja tu nikivua zinapigwa povu. Afu kuwa na machupi mengi uchafu tu miliki chupi tatu au nne coz unafua daily hautaona mrundikano wa machupi machafu wengine wanaloweka chupi wiki huo uchafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello,

Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi.

Je, wewe unavaa kwa muda gani?



Sent using Jamii Forums mobile app

aughh! unaposema nguo ya ndani kwanza una maanisha nguo gani? chupi, fulana au bra? Anyway ikiwa unavaa nguo yeyote ile ya ndani zaidi ya siku moja basi wewe ni mchafu mno, seuze uwe unavaa kwa wiki tatu ndio kabisa!
 
Inategemea sana na aina ya shughuli unazofanya.
Mi hua nabadili mara 2 au 1 kwa siku.
Nikienda 'jogging' asubuhi pekee nabadili mara 1.
Nikienda asubuhi na jioni nabadili mara 2.
Kwa soksi hua ni mara 1 kwa siku.
Sidhani kama kuna utaratibu maalum wa kubadili.
 
Inategemea sana na aina ya shughuli unazofanya.
Mi hua nabadili mara 2 au 1 kwa siku.
Nikienda 'jogging' asubuhi pekee nabadili mara 1.
Nikienda asubuhi na jioni nabadili mara 2.
Kwa soksi hua ni mara 1 kwa siku.
Sidhani kama kuna utaratibu maalum wa kubadili.
Uko vzuri


Wengine mpaka mapumbuje yawashe ndo wabadilishe

Tatizo
- sabuni
-idadi za boksa wengine anayo moja na bukta la yanga
_uvivu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguo ya ndani ipi? Zipo nyingi. Sie wazamani ukivaa trouser lazima uwe na pensi! Hapo chupi na boxer haziihitajiki.....ukivaa boxer huhitaji tena chupi! Kwangu mie chupi mara ya mwisho kuvaa ni 2003!
 
Corona,

Vijana Fanyeni revision muda huu shule

zimefungwa.

Hizi mambo za nguo za ndani zipo tu mtazichoka

wenyewe, mtaona za kila aina.

.



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom