Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

MfalmewaKiha,
kama unajua watafuta futa kabisaaa uzi wako, nguo ya ndani ni ipi hiyo unazungumzia ? maana wengine chupi chupi na marafiki zake hatuvai kabisa
 
MfalmewaKiha,

Tunashukuru kwa Kututhibitishia kuwa Wewe ni mwana JF Mchafu kuliko wote hasa kutokana tu na Maelezo yako haya Mdau.
 
MfalmewaKiha,

Nguo ya ndani ndo kitu gani?????

Kumbe na wewe unavaa hiyo vitu...nilidhani ni mademu tu ndo wanaovaa
 
Daah ila we jamaa umezidi uchafu unayo hyo moja nini mkuu ?nunua hata bukta lijezi la yanga lifanye boxa kama hauna


wote waliosema wanabadilisha kila siku wengi ni waongo narudia acheni uongo labda hyo jinsia nyengine sawa japo sio wote wanabadili kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom