mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
aiii
kesi na ugeni wote huu? haya naja
kesi na ugeni wote huu? haya naja
mmmh sina la kusema hapa
mmmh sina la kusema hapa
aiii
kesi na ugeni wote huu? Haya naja
Oh my doctor!!
I love you my Lady doctor, and I will always love you. I'm glad to have you in my life.
the love i feel for you is so unique.......with u is where i found true love en peace!!
Bueno dia,Eu te amo muicho mi mujer,bila wewe mimi sijui nitaishi vipi hapa mjini!
Nalog off
waridi la moyo wangu; kula raha za peponi
Nakupa huba langu; vingine katu sitamani
mtamu mithili ya changu; vidagaa nikomeni
Acha niseme kihaya; Mamndenyi ai ravu you
cc Bishanga
utakufa na hamu yako; kama kwa macho vyalika kula uvimbiwe!
sosoliso
umejitia umanju kwa ngoma ya husuda; hasidi wewe yatakushinda!
chama umeiba mistari ya bi kidude lol..waridi la moyo wangu; kula raha za peponi
Nakupa huba langu; vingine katu sitamani
mtamu mithili ya changu; vidagaa nikomeni
Acha niseme kihaya; Mamndenyi ai ravu you
cc Bishanga
utakufa na hamu yako; kama kwa macho vyalika kula uvimbiwe!
sosoliso
umejitia umanju kwa ngoma ya husuda; hasidi wewe yatakushinda!
Najua kwamba chama anakupenda sana.. Ila jee wewe wampenda..? Achana na Bishanga bingwa wa nyumba nyingi.. Kila akiona kichaka yeye anasikia mkojo lol.. Fungamana na ndugu yangu chama.. Ninaamini Mwenyekiti Baba V kwa kutumia mwongozo wa Tanu youth league ataithibitisha ndoa hii ya chama na Mamndenyi..
Mamndenyi
sosolisoNajua kwamba chama anakupenda sana.. Ila jee wewe wampenda..? Achana na Bishanga bingwa wa nyumba nyingi.. Kila akiona kichaka yeye anasikia mkojo lol.. Fungamana na ndugu yangu chama.. Ninaamini Mwenyekiti Baba V kwa kutumia mwongozo wa Tanu youth league ataithibitisha ndoa hii ya chama na Mamndenyi..