Sema Neno kwa Umpendaye

Sema Neno kwa Umpendaye

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Good Morning
Habari za Asubuhi
Buenos dias.(Kiispaniola)

Marafiki zangu leo tujifunze kitu hapa ambacho kwa wale waswahili
watanisaidia kuweka vizuri haya maneno yangu, ingewaje ilinichukua
mwaka mzima kujifunza lugha ya kiswahili. japo namudu kidogo.
Leo tuangalie hii: (maneno), neno, vimaneno, kijineno, vineno.


HEBU FIKIRI TOKA MOYONI /MAWAZONI KABLA UJASEMA NENO

Rafiki ni mara ngapi umesema neno jema kwa yule umpendaye, ni mara
ngapi umetamka maneno ya furaha, yaliyojaa bashasha la mvuto na
hisia kwa yule unayempenda kwa dhati, Je umenena maneno yasiyofaa

kwake, au umesema neno baya la lenye lkumuuzi umpendaye?

Je ulichukua hatua gani pindi uliopoona umemkosea mpenzio kwa kusema
maneno yasiyofaa kwake ambayo yakapelekea kumuuzi na kuwa na simanzi
nawe hata kuleta mkanganyiko wa kutoelewana (conflicts) ndani ya
mahusiano, urafiki, au undugu wenu? Je ulithubutu kumwomba msamaha?

JARIBU SASA

Je maneno unayoyatamka mchana kutwa yanajenga au yanabomoa?
jichunguze na anza sasa kusema au kutamka maneno mema kwake
Waonaje leo ukathubutu kuchunguza maneno yako na kuwa mtu mwenye
mapendo kwa yule umpendaye. Anza sasa kumweleza hisia zako juu yake.


HEBU SEMA NAMNA HII KWA YULE UMPENDAYE:

There is as much sweetness in your spoken words as much aS;
there is in your silence; You are the morning sunshine,
so also the starlit right of my life and its a fact
crystal clear that you and only you make my life
as set of blissful experiences
through the treasure of you love
Love you always


wakati mwingine waweza kumwimbia wimbo usioleta maana kwa wakati
huo ilimradi tu mwenzio auzike na kukwazika bure na kuleta kutoelewana
hebu jaribu kumweka mwenzio kwenye furaha wakati wote hata kama
mnapitia katika vikwazo mbalimbali vya maisha, na sio kumwimbia wimbo
kama huu pasipo na sababu yoyote:


Hakuna kitu kibaya duniani kama shidax2
Haichagui mkubwa, mdogo, shida ipo
kila siku shida shida shida
haiishi mpaka mwisho wa kifo ohoooo x2

Jaribu kumfurahisha mwenzio kwa maneno, wimbo wa uzuri na kumleta
karibu yako kwa kila hali. Acha tabia ya kumjenga mwenzio kihuzuni
Nadhani marafiki zangu mtayafuata na kumweka laaziz, ndugu, jirani
au rafiki yako kwa maneno yenye busara na yenye munyu.

Wasalaamu;

Ladyf
:shock:

copy😡Mamndenyi, Baba V, Filipo, Mtambuzi, Heaven on earth, Passion Lady, Bujibuji, watu8, himidin, Lady doctor, Fixed Point, amu, Asprin. Jiwe Linaloishi, Nicas Mtei, Kipaji Halisi, Bishanga, The secretary, mwallu, mwaJ, snowhite, Excellent, BAK, YoungMaster, mathematics, AshaDii na marafiki zangu wote karibu mtwange maneno ya upendo kwa muwapendao.


 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi ya kweli hayo rafiki.... Nakuomba tu unipigie japo nisikie sauti yako kwa dakika chache tu maana hali imeshakuwa tete lol!!! Tafuta uzi wa mvaatai itakusaidia kwenye hili la kukosa usingizi huku ukiota ndoto na macho makavu bila hata lepe la usingizi 🙂🙂

ha haaaa, "kila siku sipati usingizi nakuota wewe tu".......
sasa sijui unaotaje wakati usingizi hupati!
wizi mtupu!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi ya kweli hayo rafiki.... Nakuomba tu unipigie japo nisikie sauti yako kwa dakika chache tu maana hali imeshakuwa tete lol!!! Tafuta uzi wa mvaatai itakusaidia kwenye hili la kukosa usingizi huku ukiota ndoto na macho makavu bila hata lepe la usingizi 🙂🙂
ha haaaa, ndoto za machoni siyo mchezo.....
bora hata huyu yeye kasema ukweli

cc. ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:

nikinywa maji nakuona kwny glass
bila wewe siwezi ishi,wakati nimekutana
nae ukubwani si wizi huu!!mi nijipitie zangu tu!!
 
You are not Perfect. But you have been perfect for me and I Love you just the way you are.

ladyfurahia huu hapa unafaa? That is how I feel right now. 🙂
 
nimezaliwa kwa ajili yako kiwatengu love u

mwenyewe anajua ni mara ngapi kwa siku namwabia nampenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom