Sema Neno kwa Umpendaye

Sema Neno kwa Umpendaye

Oh my doctor!!

I love you my Lady doctor, and I will always love you. I'm glad to have you in my life.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga huna lolote hamna cha serena hapo mwendo wa kona bar tu..
mume wangu kiwatengu you always give me strength whenever am weak and for that i cant thank u enough rather than loving u with all ma heart
 
Last edited by a moderator:
lakini wewe mbona unawaaribia wenzio kwa maneno
hujui kuwa maneno matamu huvuta rafiki yako kuwa karibu yako?
sasa hii ndo nini tena jamani?
Wiiiiiiiiiizi mtupu mwingine huu.
 
|Wewe ndiye Doctor wangu, unayetibu maradhi yangu ya mapenzi,
uwepo wako ni kama damu izungukayo mwilini mwangu,na kufanya ukamilifu wa maisha yangu,
kumbatio lako ni kama maji ya baridi yapozayo moyo wangu wakati nina kiu,na kufanya akili yangu kufanya kazi vizuri,
Mungu akupe nguvu na afya ili uweze kunihudumia pale nipatapo maradhi ya Mapenzi.

Cc:- Tetra
 
Back
Top Bottom