Sema maneno machache kuhusu hii picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema maneno machache kuhusu hii picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Viol, Jul 10, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Haya na tumuenzi baba wa Taifa alikuwa mpenzi sana wa mchezo huu.Ala mnamuenzi kwa bao tu mbona uadilifu wake mmeuzika pamoja naye?
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Our multi talent presidaa.....Our Putin of Africa
   
 4. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  "Nataka unizalie watoto 1, 2, 3, ...".
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  huo mchezo nishasahau kuucheza,tulicheza tukiwa watoto
   
 6. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yaani wliambiana twende tukapige picha tukicheza bao na wengine wote wanachekelea ndio research zetu africa
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  @#$#%$%^&^%
   
 8. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 602
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 180
  "Mzee wa Busara huyo kutwa ashinda kwenye bao. Anabadili tu mikao" Inspector Haroun
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu hapo... pausing for da photo
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  watanzania kwa kujipendekeza, hebu cheki lile lijamaa lenye miwani lilivyokunja mikono!!!!!
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Orezoo na manzi yake si utani wana match!
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mpaka huyu jamaa amalize hiki kipindi tutaona Movie nyingi sana! Nasikia eti kaenda UK kuhuzuria kiako cha uzazi wa mpango! Hivi waziri wa afya yuko wapi asituwakilishe mpaka jamaa aende???
   
 13. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 1,209
  Trophy Points: 280
  Mbona hili si jipya. Kikwete anacheza rede na wajukuu zake pale ikulu, sembuse bao? Huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Pale ikulu Nyerere alisema siyo sehemu ya majungu ama starehe, ila utashangaa Kikwete muda wote yupo anachungulia dirishani kuona nani yuko nje akacheze naye. Yaani hapo na hilo bao ndo kafika huyu mshikaji na msishangae akalala hapo hapo na kusahau kuwa huko ikulu wajukuu wanamsubiri kucheza rede. Huyu mtu, basi tu!
   
 14. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 1,209
  Trophy Points: 280


  Hivi kutizama bao kunamfanya mtu awe mnyonge na kucheka bila sababu? Ebu angalieni jinsi kadamnasi la watu lilivyo na busara kumwangalia mshikaji akipoteza muda wa taifa. Badala ya kumtonya arudi kazini wao wanamchekelea!
   
 15. nilikuwepo

  nilikuwepo Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninachoweza kusema hapa ni kwamba utumwa ni urithi wetu.............sasa mtu anacheza bao na mke wake watu wazima mnatizama pemben mkikenua kenua tu......
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu yupo sawa bao la sita kampiga mama
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  MadameX with all due respect nakuomba uteme mate juu na umtake Radhi Putin na warusi, naomba usilitumie hilo jina vizuri. There is a wide space between them.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  jk: mimi sio fotojenik tu, hata kwenye bao nimo
   
 19. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Anasema, "yahee ngonja nile nyumba ya mbele na nyuma, kwa vile mtaji hauna nitakupiga bao nne tu weyeee"
   
 20. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata kama akivaa kama Marehemu Nyerere kama hatayafanya yale Mwalimu aliyokuwa akiyapigania hakuna kitu
   
Loading...