Sema chochote kuhusu wachaga

>Gasper Laswai
hauifahamu MOSHI sikulaumu kwa ilo

1.Moshi sio mji mdogo kama unavyo fikiri
2.85% malaya si wachag
 
wachaga wapo kila mkoa na wengiwao ni matajir na wamesoma,
 
akitaka kukuchoma kisu atakwambia tulia kikivunjika unakilipa!
 
>Gasper Laswai
hauifahamu MOSHI sikulaumu kwa ilo

1.Moshi sio mji mdogo kama unavyo fikiri
2.85% malaya si wachag

Nadhani wewe hujaitembea Tanzania hii ambayo ni nchi yako.

Kama haujui kuwa Moshi ni mji mdigo ukilinganisha ni miji mingine ya mikoa basi wewe ni wa kusamehe.

Mfano tu, jaribu kutafuta idadi ya wakazi, ukubwa wa eneo la manispaa, nadhani utapata angalau picha.

Moshi napajua ndg yangu, kuanzia Majengo, kwa mtei, pasua, soweto, karanga, shanti town, Dar street, Kcmc, Rau, n.k.hunielezi kitu, nimeishi pale kwa miaka 4 hadi nilipohamishwa kiutumishi.

Asante
 

Nasikitika unasema uongo inaelekea hujaptita hayo maeneo ikiwemo mosh yenyewe
 
hivi great thinkers ndio hivi,mbona kila siku wachaga wachaga??hakuna mambo ya maana ya kuleta hapa? mbona hamuongei kuhusu wakwere??acheni hayo mambo nyie

Sasa wewe ndo GREAT THINKER?

Wakwere wakizidi utaongea tena
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti wa kichagga kama wawili hivi 1. Jina lake la ukoo ni MUSHI 2. Jina lake la ukoo ni Kessy. Wote ni wabinafsi, Hawajali hisia za mtu, ila walikua wazuri sana.
 

lakini kocha LYASOMBORO aliwaambia warudi uwanjani na mechi wakashinda ndio maana hadi leo wapo vijiji vyote Tanzania wapo hasa vyenye shule, Dispensary, na huduma muhimu km maduka wapo na ama wameolewa
Gari kwao ni kitu muhimu na sio Starehe likifuatiwa na mradi wowote km Duka
 
nachowependea wachaga, hata kama uwe mbaya au mzee as long as una ideas za kupata pesa, au una ki-ngesti cha pesa hukosi bwana! potelea mbali atakuweka mtaji, lakini u are guarantee kuvaa shela au tuxedo(kwa wanaume). know what am saying!
 
oungo mbaya yani wengi hawana shep wengi wao mapnz wamejulia ukubwani fulu baba nani ukimaliza ufunike isiliwe na mbu type kama hizo
 
oungo mbaya yani wengi hawana shep wengi wao mapnz wamejulia ukubwani fulu baba nani ukimaliza ufunike isiliwe na mbu type kama hizo

lol wachaga noumaa, bt hyo ulosema umeprove au ndo bas tena cha kuwadongoa hlo
 
wanawake wa kichaga ni wazuri na pia asilimia kubwa wamesoma na wanaume ndio usiseme karibu wote HB na wamesomea biashara
 
Daaah kati ya boyfriends nilokua nao sijawahi kufurahia uhusiano wangu kama huu na boyfrnd mchaga..kwa kweli they knw hw to handle wanawake hawasubiri mpaka uwaambie shida zako yaan wanaume wa kichaga ndio kabila la kuolewa naloo....lols
 
ukiwa na mchaga hulali njaa. na ataku-support financially vizuri tu
 
sababu ya kupenda pesa baadhi wanaliwa kiboga.mtajibeba
 
ila wazur kwa sura.wamekamililika aisee.hasa wavulana.ila wasichana mashepu kama sanamu la michelin na miroho miusi.fyuuuuuu
 
Kwao Moshi kama wewe ni mfanyabiashara na sio mchaga watakuhujumu na biashara yako itakufa. Njia yao ya kupata utajiri makabila mengine hawathubutu
 
Vile vile hawana ukabila.Kwa wanaowafahamu vizuri watathibitisha hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…