Hiyo ishu ni kweli,tatizo historia ya makabila hatuijui maana ya wapare kwa kichagga ni wapige but baada ya muda kwenda ili kuondoa uhasama ndipo wakawa watani wetu tunaenda kwao kuwanyaanganya kuku, mbuzi, ngombe au kitu kizuri akiwa nacho lakini si kwa ugomvi kwa utani ndo mpwka leo hii wachagga hatuna watani wengine ni wapare tu.
Sawa mtani! Kila neno kwny kabila flani lina maana tofauti
Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.
Katika Afrika Mashariki ni Wachaga tu katika makabila ya Tanzania wanaotoa Ushindani wa kibiashara kwa makabila kama Wakikuyu wa Kenya; Wabaganda wa Uganda na Watusi wa Rwanda na Burundi. Wale waliokwisha kulitembelea soko kuu la Kikomba la Nairobi Mjini ambalo linasifika kama the biggest open air market in East Africa zaidi ya nusu ya wanaofanya biashara hapo ni wachaga - warombo; wakibosho; wa uru; marangu; mbokomu na kadhalika. Hata Wakikuyu wamesalimu amri kwa wachaga hapo Kikomba. Hii si kwa sababu ya uchawi etc but kwa sababu ya hard work and seriousness. Nafikiri kwa hili makabila mengine ya Tanzania wangewaiga hawa Wachaga na sii kuwapiga vita au kuwaonea wivu. Tunaingia kwenye SOKO HURU LA AFRIKA MASHARIKI AND WHAT TANZANIA NEEDS IS MORE OF ITS PEOPLE TO BEHAVE AND WORK AS HARD AS THE CHAGAS RATHER THAN JUST GRUMBLING NAKUPOTEZA MUDA VIJIWENI.
bonsafoo clemee....
Hahaahhah... lol!Mchaga alukwa anamrekebisha mpare kuongea kiswahili fasaha
Mpare: Aithee nipe THUPU
Mchaga: (Kicheko sana kisha akamsahisha) We Mpare haujui kiswahili baba yangu, sio THUPU sema SU SU SUBU!!
wachaga hawabebeki!