Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Diamond ameajiri kibaraka wake kabisa hapa JF kazi yake kuu ni kumpamba na kumpa sifa za marehemu.unaona hatari gani kujitambulisha kama mwana fa? kama sio wewe mwambie ajiunge ndo tuamini kama anakusikiliza. atakua msanii wa kwanza wa jf nafikiri, na hii itafungua milango kwa wengine. mia