Inasadikika kua mtu yeyote mwenye tabia kama hiyo (hapo kwenye red) yako hufikiria na kuamini kua hata wengine wana tabia kama yako na ndio maana hilo neno limekukaa mdomoni,ingekua sio tabia yako hiyo hilo neno wala usingelijua au kulitamka mbele za watu!