Sema chochote ''Kinachosadikika''

Inasadikika kuwa watu wa Mombasa wanapenda nyuma kiasi kuwa hata wakiingia church wanakaa nyuma na kwenye matatu wanataka nyuma tu, hata darasani utawakuta nyuma na kwenye matokeo class wanakuwa wa mwisho.
 
Inasadikika Jamii forums ipo kwa maslahi ya chama tawala ndo mama nyuzi kinzani zinafutwa
Inasadikika wewe unatumia muda wako mwingi sana kuwaza "Siasa" kwenye kila kitu kuliko jinsi unavyowaza kuhusu maisha yako binafsi..!!
 
Inasadikika MTWANGIO KIBAMIA HULETA WATOTO INTELLIGENT
 
Inasadikika kuwa nguluwe alipewa korodani zake baada ya kukimbia, mungu alipo kuwa akimuumba huyo nguluwe
 
Inasadikiwa Tanzania ni nchi yenye majeshi yenye nguvu duniani kushinda NATO na pia inasadikiwa Tanzania ni nchi tajiri duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…