Selous Fm 95.7: Kituo Kipya Cha Radio Songea Na Mapinduzi ya Tasnia ya Habari Mikoani

Dec 31, 2018
95
53
Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio.

kwanza nawapongeza waanzilishi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika wengi tulizoea kukuta radio za mikoani zikiwa na vifaa duni lakini pengine kuanza kufanya kazi kwa kituo hiki kitawapa exposure wamiliki wa radio za mikoani kutengeneza mazngira Bora ili kuleta Heshima ya Media House za mikoani.

HONGERA SELOUS FM
 
Kuna mapindizi gani ya Habari wakati hiyo Radio haifikii hata Namtumbo au mbinga?
Mi nashangaa sana..radio nyingi za home mbinga hazifiki songea..na za songea kuzipata mbinga ni kwa mbinde..radio maria tu miaka zile ndio ilibamba..kama kuna 7nafas ya dj nipo hapa
 
Asante kwa tangazo mkuu, vituo vya mikoanivinaweza sana, nani hakumbuki RFA ya akina SKy walker, Glory robinson, Fredwaa, na wengine. Nani hakumbuki Kiss FM ya akina D7, sharobano, Dj Maris (sina hakika na majina kama yanaandikwa hivi).

Inawezekana sana ila wawe wabunifu siyo kuiga redio za Dar, unakuta mtu anatangaza kama Mchomvu.
 
Naomba kujua kuhusu kufungua Radio station vifaa gani vinahitajika na gharama zake mpaka wasikilizaji wasikie
 
Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio.

kwanza nawapongeza waanzilishi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika wengi tulizoea kukuta radio za mikoani zikiwa na vifaa duni lakini pengine kuanza kufanya kazi kwa kituo hiki kitawapa exposure wamiliki wa radio za mikoani kutengeneza mazngira Bora ili kuleta Heshima ya Media House za mikoani.

HONGERA SELOUS FM
Je kuna kipindi chochote kinachohusiana na mambo ya Elimu.
Mana nataka nije mikoani kutoa semina za Elimu.
 
Back
Top Bottom