Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Asante sana jamani Watu8Okay dear one...
Katika simu yako, bila shaka watumia smartphone, katika phone keyboard ukiwa katika typing mode, hebu jaribu check sehemu ya emoji (huwa kawaida inawakilishwa na kisura kinachotabasamu huwa mstari wa chini kabisa baada ya herufi zote)...
Wacha nijaribu