Hata Elimu ya Dini ya Kiislam nafundisha tu flesh hapo ndio penyewe kabisaa πππ Biology, Physics, Hesabu ipo deal kidogo nikija hawato anza mizunguko mingi ππππ Nimekumbuka kipindi napigidha pindi pale Kinondoni Muslima pindi la Hesabu nomaa sanaaNjoo kwa Hm tu tena Waislamu wao wana EDK - Elimu Ya Dini ya Kiislam ila bible knowledge hakuna karibu sana!
Naanza dayati aki ya naniππUtanenepa ushindwe kufaidi mengine.. Punguza kula ππ
Mimi huwa wakionesha kile kipande yule Mama analia kwa uchungu why Mungu kampatia watoto aina ile nalia kweli huwa nawaza sana kama mimi ni watoto wangu ile tamthilia wameitendea haki wahusika wote ni nzuri mno mno.Unanifanya nitamani kuwa muigizaji wallah
Tena ndo tamthilia ile, ningeua mbayaaa. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Nakuja chaap hapoππNjoo uchukue ππππ saa nne na saa tano
πππ Safii kabisa, punguza kula utumbo wa kuku, vichwa na miguu yake kunywa maji mingi na zoezi la kutoshaaNaanza dayati aki ya naniππ
Jana somo liliniingia vzuri
Highly addictiveSoap operas ukishaanza kuzifatilia, kuacha sio rahisi.
Mwenyew kuna vipindi vyangu siwez kuvikosa labda nitingwe sana
And the LORD said unto Satan, Hast thou considered my servant Job, that there is none like him in the earth, a perfect and an upright man, one that feareth God, and escheweth evil? and still he holdeth fast his integrity, although thou movedst me against him, to destroy him without cause.Why Job ime top up?
Nikiona tu Joel hii verse inaclick
Joel 2:25
βSo I will restore to you the years that the swarming locust has eaten, The crawling locust, The consuming locust, And the chewing locust, My great army which I sent among you.
Sent using Jamii Forums mobile app
π πNakuja chaap hapoππ
Af hyo picha uliyopost umefuta kabla sijaiona, em nitumie bana maana si kwa sifa hizo ulizomwagiwaπ
Nitumie na mimi[emoji4][emoji28][emoji28]
Meshatuma [emoji1787] au nikutolee na huo muemoj..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baki hapa.Mie ndo hata sielewi mnachozungumzia ngoja nikasome huo ubuyu kwanza niokotemo mawili matatu![emoji23][emoji23][emoji1787]
Yaan ile tamthilia, inabeba uhalisia kabisaa.Mimi huwa wakionesha kile kipande yule Mama analia kwa uchungu why Mungu kampatia watoto aina ile nalia kweli huwa nawaza sana kama mimi ni watoto wangu ile tamthilia wameitendea haki wahusika wote ni nzuri mno mno.
Baba mtumishi, huyo wa pembeni, fanya nimuone vizuri, nna jambo nae
Jaman nitasononeka sana kukosa hizo mambo zangu, aki nitakondaaaπππ Safii kabisa, punguza kula utumbo wa kuku, vichwa na miguu yake kunywa maji mingi na zoezi la kutoshaa
Heeππ π π imefutika
Yees + moviesHighly addictive
Reality TV shows pia
Yaani umetuma na muemoji, rili?π π
Meshatuma π€£ au nikutolee na huo muemoj..
Usikonde sanaa kidogo tuuu , ili unakuwa unatoshaa ππJaman nitasononeka sana kukosa hizo mambo zangu, aki nitakondaaa
Wacha leo nipime uzito nione nna ngap af utaniambia nipunguze ngapiUsikonde sanaa kidogo tuuu , ili unakuwa unatoshaa ππ