Selfika na JF: Snap it. Show it

Una macho ya kimahaba midomo ya kiss kope za mitego shingo ya kupiga love bite miguu ya kuendea royal tour [emoji9][emoji9][emoji11][emoji8][emoji8]
 
Ile familia ni πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Una macho ya kimahaba midomo ya kiss kope za mitego shingo ya kupiga love bite miguu ya kuendea royal tour [emoji9][emoji9][emoji11][emoji8][emoji8]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivyo vingine havisomeki vizuri, ila hapo pa miguu ya royal tour umeuaaa
 
Sasa hivi kahamia team Sophy. Eti Sophy nenepa kama mke wa pili [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule ni mwehu, alinichamba siku hiyo chimbo sina hamu nae kabisa na ujuaji wangu wote kwake nimenyoosha mikono.

Ila ile movie anajua kunogesha.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Nije nifundishe bible knowledge na Biology wacha nifanye kuomba kwa kuandika application letter au nije kuonana na Headmaster tu
Njoo kwa Hm tu tena Waislamu wao wana EDK - Elimu Ya Dini ya Kiislam ila bible knowledge hakuna karibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…