Selfika na JF: Snap it. Show it

poleeeeeh
 
Mama malezi kwa ubuyuuu sikuwezi, rafiki angu huyooo
Nipo hapa nachat nae tsup.


Afu anasema kuna mdau JF anatoa siri za chimbo, kumbe yupo karibu yake.


Na huwa anasoma kumbe.
Nipo vizuri oooh.


Na Mimi nilikuwa najiuliza hivi hawa si watashtuka kuwa kuna mtu anatoa Siri zao? Ila ya kistuli kuzimia kwenye fumanizi imenisononesha...
 
Nipo vizuri oooh.


Na Mimi nilikuwa najiuliza hivi hawa si watashtuka kuwa kuna mtu anatoa Siri zao? Ila ya kistuli kuzimia kwenye fumanizi imenisononesha...
Kiukweli hata mie nmeumia, afu jamaa hakujali wala nn, yaan wanatesa watu kihisia.

kwa umbea uko vizuri, wee chimbo elf 30 kila mwezi kulipia, na nalipia ili nisikose umbea na maubuyuuu.

Ntakuja na wa R vs A, wacha wachambane siku hiyoooo, mbavu zangu mie,
 
A usinikaushe uzazi? Alivyo na mdomo yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…