Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua alivaa hilo koti katika muktadha gani? Labda alikuwa anakwenda/anatoka ofisini au kwenye mishe za pesa.

Punguza bana kuwakandika majamaa. Mpaka umetufukuzia Mr. Big na pigo zake kama Tupak. Hufai
tupac wa Buza? Khaaaah.

Sasa km ni Official, sio kwa mtoko ulee, yaan yuko rough mnooo.
Khaaaah. Nguo hazina ushirikiano kabisaa. Lol
 
Imebidi niitafute picha uliyoitolea povu hivi jamanii mbona nguo nzuri kubwa hadi raha
 
Umependeza sana mtoto mzuri. Una midomo amazing.
Ma ustazati huwa ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kuna mmoja nimemuacha mahala hapo kidogo anilaze moro sema shetani kama kashindwaa, maombi ya mamaaa pastaaa sio mchezoo ... na ameleta tafrani kazini na staff mwenzangu ... alikuwa kaanza chukua namba ila mie ndio nilikuwa nimepewa hela za kuhudumia binti akajua mie ndio don sasa jamaa nimeishia kumcheka yeye katupwa mwanza mie nikaja na chombo ila nimechukua namba tu 🫣🫣🫣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…