Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya makoti yanakukata hamu ya mizagamuo?

Mjukuu bana dah! Si kwa povu hili wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jomoneeeeeeeh guizzzzz mlale unono.

Wacha nipumzishe fuvu langu Now, kesho nayo ni siku.

[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4] byeeeeezzzzzz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza nyege zinayeyuka yeyuuuuu.

Yaan kaniboa huyu jamaaa, khaaaaaah.
Unajua alivaa hilo koti katika muktadha gani? Labda alikuwa anakwenda/anatoka ofisini au kwenye mishe za pesa.

Punguza bana kuwakandia majamaa. Mpaka umetufukuzia Mr. Big na pigo zake kama Tupak. Hufai [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…