Selfika na JF: Snap it. Show it

tatizo mna damu za kunguni mkuu ombeni mpewe mwongozo muenjoy mema ya jf[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] [emoji23][emoji23][emoji23]!!
Shida binadamu ni wabishi sana. Hata wakija kupewa mwongozo si ajabu watabisha [emoji16][emoji16][emoji16]

Melo na Mushi sijui walifikiria nini kuanzisha JF
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu si nimekukataza wee?
Natanua mapafu shos maisha ndio hayahaya !!! Tucheke tupunguze mikunjo ya sura!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£!! unajua
Kitu kinachonichekesha?????

Au basi πŸ€­πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…