Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Unaweza kukamatwa hivihivi unajiona..π π π Nimecheka sana, akili zetu wanaume huwa za ajabu sana unakumbula kale ka msari kama mfalme ... Wanawake wanabadirika ila unapo amua mabadiriko yake ukubali kutumia mda mwingi sana kuingia ndani yake na kumtoa alie anza kabla yako... nafsi huwa inauma ukikosa gori na hasa ziwe dk za majeruhi ... ingawa mie nilipambana nikabebeshwa mkoba sasa nikawa nikitembea nae ananiambia nifate nafata nikawa kama nimepigwa upofu alafu watu wanatuangalia kweli kweli nikasema nini hii, ila sikuwa kabisa na akili mbele ya yule dadaaa, baadae ananiambia anaenda kulala sasa shughuli pevu ndio ilikuwa hapo anza bebembeleza wee twendee , kakataa alafu yupo serious ananiambia kwani mie nauza huku nimebeba sana mkobaa fataa saka kama bodi gadi nikiwa na matumaini π π π tukawa tumesimama mahala hivi akaanza nihoji maswali sijui akili hapo zilikuwa wapi .. kipindi ananiuliza nika test mvuta kwa nyuma nika mkumbatia akachekaa akatulia nikaanza piga siasa huku nimekumbkatia akachomoka akasogea kama main entry fata pale kumbatiana live live sina aibu hapo sijui akili ilienda wapi ila kuondoka wote hataki.. nikakata kabisaa tamaaa nikamuambia poa mie naondoka akasema poa π π roho ikauma piga hatua mbili nikarudi .. nikaingia na gear ingine mie nasafiri naenda morogoro nikitoka morogoro naenda dodoma akawa hapajui kumbe mgeni, hapo ndio alifanya makosa kusema hapajui huko koteee nikaanza ingiza gear baada ya gear hadi mida ya saa 10 akasema twende alipofikia akachukue mizigo yake twende wote nikahisi utani, hao tukaondoka hadi hotelin kwake ila hatoi mzee, hapo tayari nimetoboa na ni nje ya utaratibu , tukaingia kwenye chuma sijalala hapo nilichofanya piga redbul za kutosha na maji mengi ili mkojo unisimbue ninapo kuwa naendesha nisilale, nilifanikiwa mkoani morogoro na mkoani dodoma na dar es salaam nawasiliana nae tu maana wengine hatujuagi kuachana π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee sio coca mie, hapana.Sio ujaribu ! Acha kabisa [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Wengi tuu nimekulana nao sema sie hatutangazani watu wazima π πHumu
Ulishaonja[emoji848]
Hapana bwana mbona ndio tutatangaza nia ya kuwawowaIli mtunange vizuri π
Kwahiyo wanaotangaza ni watoto?[emoji23]Wengi tuu nimekulana nao sema sie hatutangazani watu wazima [emoji28][emoji28]
Wee Shauri yako ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee sio coca mie, hapana.
Acha kabisa na hasa kwenye ma casino au night club sijui huwa zina nini, ukinasa mahala unakuwa kama akili umezifungia sehemu.. utakuja kushtuka baada ya kuachana na mtu π π π .. ile ilikuwa machine mzee roho ingeniuma sana na sijui nini kiliniambia nirudi baada ya kukata tamaa, na hakuwa mdangaji maana route yote ile 50/50 hadi tuanaachana .. kama angekuwa nyonya damu ningeishaaaUnaweza kukamatwa hivihivi unajiona..
Ila uliupiga mwingi sana, hakuna kukata tamaa π π , kujipa moyo utambadilisha kumbe na yeye anawaza kukubailisha.
Shouzzz bhana ntajitahidi.Wee Shauri yako !
vitoto ndio vinatangaza tuone vime barehe ila sie watu wazima kimya kimya tunaacha huko huko kimya kimya .. hapa tunachekeana toka 2009 mie nawala humu sijala kuanzia mwaka jana tuu ndio nilivimbiwaaa π π π π
ππππvitoto ndio vinatangaza tuone vime barehe ila sie watu wazima kimya kimya tunaacha huko huko kimya kimya .. hapa tunachekeana toka 2009 mie nawala humu sijala kuanzia mwaka jana tuu ndio nilivimbiwaaa π π π π
Tena nitaweka selfie yangu kabisa, nitakutag.πππ hiyo password tu usumbufu wa kukodoa macho keyboard nzima. Lazima ukome
Vocha unayo⦠selfika
Anaweka hapahapaShouzzzzzz akeee, jambo langu naliomba uniwekee kulee. Nikirudi baadae ni succed tyuuh.
Uwe na alasiri njema. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Coca wozi hia. Sii u leta.
alafu matoto ya Arusha mengi yapo hivyo, mie kuna moja nafikiri kama mwaka 2013 au 2012 nalo zurii balaaa mahala lina nipulizia moshi wa sigara mala linanipa nivute naliambie mie sivuti bwana , kila linachotumia linataka na mie nitumie nikawa nalikatalia ila zuri liliniendeshe ki Arachuga Arachuga linafanya linavyotaka yaani, badae nimeondoka nalo nimechoka kweli ila kumbe chumbani pole oga kama kunguru wa baraaa π π π .. ila hivi karibuni nilikutana nalo maskini limeungua kidogo chozi la huruma linimwagike dah limeisha haya magonjwa acha tuUnaweza kukamatwa hivihivi unajiona..
Ila uliupiga mwingi sana, hakuna kukata tamaa π π , kujipa moyo utambadilisha kumbe na yeye anawaza kukubailisha.
We jamaa π π π πAcha kabisa na hasa kwenye ma casino au night club sijui huwa zina nini, ukinasa mahala unakuwa kama akili umezifungia sehemu.. utakuja kushtuka baada ya kuachana na mtu π π π .. ile ilikuwa machine mzee roho ingeniuma sana na sijui nini kiliniambia nirudi baada ya kukata tamaa, na hakuwa mdangaji maana route yote ile 50/50 hadi tuanaachana .. kama angekuwa nyonya damu ningeishaaa
Hapo wote mkiwa na akili ya kubadilishana ndio mtihani lazima mkwaluzanae sana , hadi mmoja akubali kuwa chini ya mwenzake ila mzee ulikuwa na utulivu unakula moshi ya wa bangii kwa uvumilivu mkubwaaa sanaa π π π ila ndio ivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajawahi kuniangusha shouzzzz angu, yeye ameelewa. Kuwa mpoleeeeh tyuuh.Anaweka hapahapa
Ukichelewa umekwisha[emoji2]
Asee, basi itakua wapo hivyo.alafu matoto ya Arusha mengi yapo hivyo, mie kuna moja nafikiri kama mwaka 2013 au 2012 nalo zurii balaaa mahala lina nipulizia moshi wa sigara mala linanipa nivute naliambie mie sivuti bwana , kila linachotumia linataka na mie nitumie nikawa nalikatalia ila zuri liliniendeshe ki Arachuga Arachuga linafanya linavyotaka yaani, badae nimeondoka nalo nimechoka kweli ila kumbe chumbani pole oga kama kunguru wa baraaa π π π .. ila hivi karibuni nilikutana nalo maskini limeungua kidogo chozi la huruma linimwagike dah limeisha haya magonjwa acha tu