Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila JF hapana kwa kweli, leo nimeamini Unafiki uko humu ndani, khaaaah,. Yaan wee.... Ndo wa kumnanga.. ...

Oooohhhppppssss, mweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kuselifka kuna maliza mb ngapi!? Basi nikuhotspot

Lyrics sio ngumu kumbe, tatizo tone yake πŸ˜‚
 
Ila JF hapana kwa kweli, leo nimeamini Unafiki uko humu ndani, khaaaah,. Yaan wee.... Ndo wa kumnanga.. ...

Oooohhhppppssss, mweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na kunangana kupo na hata hamkuwah kuniambia, waja s wema 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Si nilikwambia ukiacha mawenge unafaa Kabisa kuwa first lady lakini!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15][emoji15][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 1st lady wa mchongo shouzzzzzz? Huhuhuhuhuh. Kuna mtu aliwahi nambia nisipokua serious some how ntakosa fursa nyingi,

Sasa u serious enyewe kila nikijaribu nashindwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…