Nakumbuka zamani za kale, nilikuwa naomba Mungu sitaki mwanamke mpole , nataka meanamke wa kumbadirisha tabia ( bangi hizi ) one day nikaingia casino moja nikavutiwa na mdada mmoja khaaa alikuwa kama kaumbwa nikasema laulaaa Mungu kajibia maombi kitu si ndio hiki.. ile ki gentleman nikamfata mtoto π
π
π
nikawa kauli mbili ya kwanza bei gani akageuka akakata jichooo kali hilo π
π
nikavunga kama hajanisikia nikamuambia nataka tu company π
π
π
au basi .. But wanawake wote wazuri na wanaume wote wazuri ila hadi upate wa aina yako hakuna mtu mmbaya ila kuna walio zidi excellence