Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Hii pic mwenzake ninae ee, ngoja nikaweka wallpaper πŸ€—πŸ”₯

Hiyo loc utanipasia 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣 ndiooo

Location Moshi ndani ndani huko, nitakupeleka ila usiwe mvivu kupanda vilimaπŸ˜ƒ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relaaaaaaaaaaaxxxxxxxxxxxxx.
Hilo lako mr kahawa, halinihusuuuuuuuh.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mie kunigusa ni sawa na kudumbukiza kichwa kwenye Conc Suphuric Acid muulize mkemia mkuu wa selfie atakuambia kama hata vuzi la kichwani kama litatoka
 
Hivi shos wewe ulizaliwa ulaya ama??? Mbona una akili nyingi hivo???? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulayaa wapi bhana shouzzzzzz? Songea ndani ndani huko, akili ninazo kias chake na zinatosha kabisaa kwa matumizi yangu na wengine pia pale inapobidi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humooo tyuuh shouzzzzzz. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Shos Ukiacha wenge wewe ni booongeeee la jembee!!πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…