Asie jifunza lazima afunzweee π π π mie najitahidi kutokomeza zeroooo .. ingawa life is choise ila fimbo lazima uchapwe π π π ila leo nimeamkia wapi jamani
π π π ila kwani tumetaja mtu, maana akihisi ametajwa ndio anakuwa amewashwa washwaaa.. mada ilikuwa usaliti na kupindua meza kwenye real life ipo kila maeneo kitaa na hata hapa JF haya mambo kibao