π π Tafuna tyuuu , eeh unatoka na mtu wa mwenzako au umepundua yeye kawa ex na wewe umekuwa present sasa unajionesha onesha nini kama kichwani hakuna kamasi au kutojiamini na huu huwa ni uchawi π π π umepindua meza umejiona mjanja kausha liwa kimya kimya ukifika wakati wako wa kupigwa chini inakuwa fresh π π π π π Madam leo kichwa yangu ya motooo inafuka moshi unisamehe sijui hata naandika nini π π
Baba pasta binafsi sitakagi msongamano kabisa na sipendi dharau za rejareja.... Yani mfano nijue baba pasta unatupanga waziwazi weeeeeeeehhh.. mie nehi nehiii!!
Hao wanaochukua Watu wa watu nakujionesha binafsi naona huko ni kutokujiamini yani hawakuamini kama wanaeza toka nahuyo mtu possibly walijitahidi sana kutaka kupindua meza kipindi hiko ila walishindwa sasa mmebreak up ndio mtu anaona tu ajiegeshe hapo no way!
Nimesema possibly
Ila nimekaa nikajaribu kuwaza sababu Kwa upande mwingine.
Nadhani hata watu tulionao walitoka sehemu nyingine
Kutoka kwao sehemu nyingine na kuja kwetu haitufanyi tusiwapokee..
Najaribu tu kuwaza upande wa pili