Yani siku ya Kwanza tu nikuambie mi nyumbani migo migo kwa binyau.
Yani kwenye ubongo wako tiyari ku ta clik huyu Ni mswahili, pia Ni unga unga mwana.
Eh kwa niniMfano tu huyo wa;
Rent 500k
Umeme 100k
Maji 100k
Taka 60k
Mwanaume aweza kumtumia 1,000k
Halafu akakaa hata siku 3 bila kumpigia.
Unajua kwanini
AloohHata hujampata ni zile dalili tu haha
Tumeumbiwa mateso acheni tuAlooh
Ah poleniTumeumbiwa mateso acheni tu
Wadada wenye akili ukianza kumsumbua sanaa na ukawa na uchu atakutesa sana.Eh kwa nini
Nipe muongozo
Alikuwa rafiki tu wa kawaida though...Nyie mnapenda ugali huko balaa
Huko kwenu ugali hauepukiki kabisa
Ooh huyo mdada yupo vizuri mno kwa wazungu si rahisi tena asonge ugali wa watu nane
She's a wife material indeed ...
Sio kweli ukiona umeachwa jitafakari.Ah poleni
Ila mkishapata mrembo mnakuwa hammjali tena
Jamaa alitisha sana, kuna ndege zimetengenezwa namna hio kuwa na uwezo wa kufanya emergence landing majini, kama hio A320 aliyokuwa nayo Sully, jamaa alikuwa very calm, hizi ndege una uwezo ku activate emergence landing kwenye maji ina 'ditch switch' ambapo ikiwa activated inafunga openings zote na ndege itaweza kukaa majini kwa muda mrefu masaa hadi masiku. ditching ni emergence landing procedure kama runway hakuna,The miracle on the Hudson. Captain Sully Sullenberger aliupiga mwingi siku hiyo. Mungu Alikuwa naye
Wadada wenye akili ukianza kumsumbua sanaa na ukawa na uchu atakutesa sana.
Njia hasa kwa jeuri kama huyu unajibu mapigo zaidi yake...
Hapo utamwachia maswali mengi mno.
Kuna uwezekano sasa yeye ndiye ataanza kukutafuta kwa bidii.
Hapo ndipo mwanaume anajifanya naye yuko busy haha
Haha leo nitakupa siri yetu.Ah mnajua kucheza na akili zetu eeh
Maswali ni mengi hadi unaingia Google
Pika kwanza,tuoneHivi bamia na mchicha vinaendana kweli au nitachemsha?
View attachment 2228663
Umevaa dera?😁Pika kwanza,tuone
Labda bamia likianza kuiva uweke huo mchicha,,,,nipo nje nacheza rede vikiiva uniite
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaume duniani anajua mzigo unataka kuja then akaombwa hela ya nauli akakosa.
Ataiba nyang'anya ili mradi akurushie uje.
Very sad baadhi yenu huwa mnaishia kuzitafuna na kutoonekana
Ooh kumbeSio kweli ukiona umeachwa jitafakari.
Msichana mwerevu huwa haachiki ng'o
Ni wasichana wenye akili pekee wanaweza kuwa hiviAh hela hiyo haikosekani kwa hiyo
Kula nauli si sahihi bora umwambie tu mtu siwezi kuja tu aelewe moja .
Sema kuna muda unaweza kuta huelewi hapo mawazo yakakujia kuwa tayari umeachwa .Haha leo nitakupa siri yetu.
Huwa mnatuona sisi ni chanzo cha kuachana tulia nikueleze
Mimi msukuma lakini kusonga ugali wa wanaume nane wa kisukuma ni kipengele kwa kweli 😞Alikuwa rafiki tu wa kawaida though...
Wewe huwezi kupika ugali wa wanaume wanane wa Kisukuma?
Yeah! He became a celebrity mpaka akatengenezewa na movie. Na episode yake ya Air Disasters yeye na abiria wanavyoelezea jinsi msala mzima ulivyokuwa inavutia sana.Jamaa alitisha sana, kuna ndege zimetengenezwa namna hio kuwa na uwezo wa kufanya emergence landing majini, kama hio A320 aliyokuwa nayo Sully, jamaa alikuwa very calm, hizi ndege una uwezo ku activate emergence landing kwenye maji ina 'ditch switch' ambapo ikiwa activated inafunga openings zote na ndege itaweza kukaa majini kwa muda mrefu masaa hadi masiku. ditching ni emergence landing procedure kama runway hakuna,
Ndege ilikuwa full tank, ilikuwa powerless tokana na bird strikes kwenye engine, abiria na mizigo lakini jamaa aliland majini safe na hakuna mtu alifariki, jamaa ni legend.
Ila inategemea unatokea wapi Kama ni kutoka mkoa A hadi B hapo ni sawa .Ni wasichana wenye akili pekee wanaweza kuwa hivi