Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,379
Hapa tunasubiri mkombozi wetu mtoto wetu Gerrard amalize jambo letu Kwa kipara.Balaa tu
Ila naona EPL haitabiriki msimu huu timu inaweza ikawa vizuri ehh msimu ujao mambo mvurugiko .
Sasa ni zamu yao naona .
Haya, selfika kwanza
Nishaselfika bila emoj.Haya, selfika kwanza
Iko wapi hiyo??
Mawa...💕💕
Wapi huko umeselfika??Nishaselfika bila emoj.
Asenalee inabidi mje tu kutushabikia timu la dunia ,timu kubwa Liver.
Lakini ni vibaya ukipitia kuchukua kwa upendo tu?Nakutania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa naimba wimbo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sijaona!!Nishaselfika bila emoj.
Asenalee inabidi mje tu kutushabikia timu la dunia ,timu kubwa Liver.
IrudiweeeeeSijaona!!
West Ham ni [emoji91][emoji91]Wanafanyaga maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamenifanyia maajabu kipara
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahahha aiseeHako kavhuchunge kawige wangekuwa na timu Bora msimu huu aisee tungepasuka ngoma za sikio Kwa kelele[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ah mpo vizuri
Msimu ujao [emoji23][emoji23]
Afanye jambo kwa kweliHapa tunasubiri mkombozi wetu mtoto wetu Gerrard amalize jambo letu Kwa kipara.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mic u[emoji23]
Mic u kipenziii, [emoji6][emoji6][emoji6]NI BARAKA KUBWA KUAMINIWA NA MTU KWA MANENO,....HATA KAMA SIO KWA VITENDO.
Mungu akubariki wewe unaemuamini warda kwa maneno yake na ukawa nyuma yake,,,,nakuamini pia[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app