Nikopoa sanaUmeamkaje rafiki?
Nilikuwepo nilipita kimya kimya majukumu yalinibana lkn pia niliona mnajadiliana mambo yenu wakubwa
Mr Handsome ππ₯π₯π₯
Haikuwa akili yakeRelax
Mkwe umtusimanga hujatetea nimeqoute kimyakimya nakuheshimu mkwewanguπNini tena mpwa kunikwoti kimya kimya?
Natumaini kumekucha salama. Niko Usukumani Misungwi nimeingia leo. Ningejua upo Usukuma ya wapi nami ningependa kukuonyesha ukarimu wa Wasukuma nikuletee ka mbuzi uchinje mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Siku yako na ikawe njemaNikopoa sana
Eti eeeh?Ndivyo mnatakiwa
Kuwa hivyo
Wanaume sisi ni cha wote
Kazi njemaSiku yako na ikawe njema
AminaππNamshukuru Mungu nipo salama,,namshukuru kwa kuniamsha salama siku ya leo[emoji1545]
Mungu awape shifaa wagonjwa wetu waliopo mahospitalin na majumbani mwetu[emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
hujambooEti eeeh?
Safi sana cha wote
AminaThanks
Kazi njema
Khaaaah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiih
Leo umepatwa na nn? Hebu nieleze kwan lol
Sijambo shkamoo mtu Cha kwakehujamboo