Exactly, niongezee
sisi wanaume tunapenda kuheshimiwa kuliko kupendwa, pesa ni kweli inatafutwa lakini pia man value is measured in what he can do and provide, kwa hio kama pesa sina Sophy kuna muda hutonipa heshima ninayostahili kwa sababu uanaume ni utafutaji na kuhudumia familia na majukumu mengine sio kumkojoza tu mwanamke.
But upo sahihi, lakini dah, hii mada ni ngumu kweli π