Hizi gari kwenye engine oil maintenance inapaswa umakini, weka oil quality na kiasi kinachopaswa na kwa wakati, kukaa muda mrefu ni shida sana, mfano RR sport V8 inakufa turbo mapema kama unafanya wrong engine oil maintenence, sasa cost yake kutengeneza ndio utapenda, kwa maana turbo ya RR unatoa body yote(kwa experience niliyonayo na model nilitumia), thats why wanapiga kelele sio reliable.