Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,552
- 235,326
Ally awape wenzie samareKama Kuna Ally humu aje atuambie ilikuaje
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2227067
When you Hear that name JesusPolee Mtumishi ππ€£
Hio ni hatari , sasa hivi wakifuta nazipatia kwako, umetisha mkuu.π π π nilihisi kupaaa.. nahisi kuna delay ya ku refresh ( au kuzifuta ) catche baada ya mtu kufuta picha.. nyingi nimekuona naziona hata baada ya mtu kuwa amefuta picha
chocolate zitoke wapi hapaaa na wewee njoo home zipo kwenye kabati za kutoshaa π π πZile chocolate huko hazipo?
π π π π Mwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..Hio ni hatari , sasa hivi wakifuta nazipatia kwako, umetisha mkuu.
Tatizo husemi nyumbani wapichocolate zitoke wapi hapaaa na wewee njoo home zipo kwenye kabati za kutoshaa π π π
[emoji23][emoji23][emoji23] Magwaya hana namba tenaWacha wee!
Umepewa namba man u nini?
Mbona umeanza kufanana na Magwaya
Usiniweke basi!π₯΄Kesho mida kama hii tutakuwa pamojaaa π π π π
Hata kama ni kiatu pekee - kile cha kutembelea kwenda kwenye nchi ya ahadi Ethiopia. Pulizi Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]Polee Mtumishi [emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23]kwakweli awaambie alifikaje hukuAlly awape wenzie samare
Vipi jana mrembo alitokea au?When you Hear that name Jesus
I just wanna see you BOW Down
When I Call on Jehovah
I just wanna see you Salute
When we Sing Hallelujah
I just wanna see you BOW Down
To the All time Champion
I just wanna see you Praise Him
Naam, inabidi tufanyie kazi hili, liekuwa tatizo suguπ π π π Mwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..
Acha nifanye ku share location πΉπΏTatizo husemi nyumbani wapi
Kwenda zako. Unanizingua Mtumishi π€£π€£Hata kama ni kiatu pekee - kile cha kutembelea kwenda kwenye nchi ya ahadi Ethiopia. Pulizi Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]
Siondoki hapa mpaka nione japo upindo tu wa gauni la jana lililokuwa linasifiwa sana. Nikiona hata upindo tu wa vazi basi yatosha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwenda zako. Unanizingua Mtumishi [emoji1787][emoji1787]
!!Vipi jana mrembo alitokea au?
Nitakutumia PM basi Mtumishi mwema; au?Siondoki hapa mpaka nione japo upindo tu wa gauni la jana lililokuwa linasifiwa sana. Nikiona hata upindo tu wa vazi basi yatosha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha hapo mwishoni umejiandaa na chuchunge?atokeee wapi sema nilipata kengine hapa hapa mbezi mwisho kazuri kama Strawbella mcheshi kama Lenie ana akili kama Heaven Sent , rangi na uzuri wake kama mahondaw , kila nikimtazama naona lips kama sophy27 asikusimulie mtu huo mguu kama Kelsea ... janjaaa kama cocastic ila sio mmbsihi kama Saint Anne asie taka makuu kama Tinsley ukimuona kama Lizzy
πππππππΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Hahahaha hapo mwishoni umejiandaa na chuchunge?