spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Me kwangu fresh tu LTE na speed ya lightNet inakata kabisa
Inarudi bada ya muda
Me kwangu fresh tu LTE na speed ya lightNet inakata kabisa
Inarudi bada ya muda
Asante sana mheshimiwa leo umetuwekea yenye rangi angavu
😬😬 ila basi ndio dar es salaam, ila Lenie mcheshi hadi rahaa eee.. nenda kanywe kahawa naona amekutengea hapo mezani mie nitawacheki kesho nyie si bado mnapiga mastoryPole sana me nliambiwa ukishuka nenda darajan nakufata nmekaa pale mpaka pakanizoea
Tupo apa me kwa huu ukarim wake siondoki keshoila basi ndio dar es salaam, ila Lenie mcheshi hadi rahaa eee.. nenda kanywe kahawa naona amekutengea hapo mezani mie nitawacheki kesho nyie si bado mnapiga mastory
4G kwangu inasomaNet inakata kabisa
Inarudi bada ya muda
🔥🔥🔥 Internet is in trouble 🔥🔥🔥 mambo yaangushayo wafalme haya si mchezo mfalme hashindwi kukupa kingdom moja
Noted chair!! Nipo makini!Mwenyekiti SAA tano usiwe mbali na USO wa simu yako!!
Haya ndugu mwenyekiti kaanzisha kikao!!
Karibu uselfike mjumbe!!🔥🔥🔥 Internet is in trouble 🔥🔥🔥 mambo yaangushayo wafalme haya si mchezo mfalme hashindwi kukupa kingdom moja
Ooh poleNet inakata kabisa
Inarudi bada ya muda
Jiskie uko nyumbani😃
Bila hata kunambia mkuu nshajiskia nyumban me wa hapa hapaJiskie uko nyumbani😃
spidernyoka mie usingizi nimetembezwaaa sanaaa , nyie pigeni tu story chakula nitakula asubuhi mnibakizie tu kipolo cha wali maharage nakielewa sana kwa asubuhiSi uje tupige story wote, mle pia maana najua mna njaa
Karibu sanaa, usiposhiba sema nikakuongeze msosiBila hata kunambia mkuu nshajiskia nyumban me wa hapa hapa
Hahahaa leo umeipata fresh. Pole sana😃spidernyoka mie usingizi nimetembezwaaa sanaaa , nyie pigeni tu story chakula nitakula asubuhi mnibakizie tu kipolo cha wali maharage nakielewa sana kwa asubuhi
Sema Post M-alone ndio ivyo kakosa tukio la mwaka 2024... maana effects za hii picha najua zinaenda hadi 2030 🔥🔥🔥🔥 kakosa tukio kubwaaa kabisa dunianiKaribu uselfike mjumbe!!